MK254 :
Wakati mwingine unachekesha sana - tangu lini jet fighters zinakeba mizinga - lini??
Kitu kingine kila siku unatujia hapa na stori uchwala jinsi warusi walivyo nyuma kwa karibu nyanja zote - sasa huu mzinga ambao unasema ni babu kubwa Duniani umeundwa kutoka kiwanda gani chini Urusi na kwa nini mabeberu wako ambao mpaka sasa hawana hata hypersonic missile hata moja hata ya kisingiziwa kwa nini wana shahuku kubwa ya ku-reverse engineer missile ya Warusi, si Wamerikani hujifanya zaidi kiteknolojia na wala sidhani kama missile hiyo ni hypersonic, itakuwa supersonic tu.
Sasa mkuu unaweza kitu elimisha mzinga huo babu kubwa unao uzungumzia hapa umeundwa kutoka kiwanda kipi huko Urusi, si unasemage Warusi hawana viwanda vya silaha vya maana kuliko vya Merikani, sasa je mzinga huo babu kubwa labda umeundwa kwenye viwanda vyenu vya jua kali huko Kenya au?