Wazalendo wote wa nchi hii njooni uku tujibiwe haya maswali na Serikali ya Rais Magufuli

Kama mataga wameshindwa kujibu hata swali moja sidhani Magufuli hataweza kujibu

Kama ameshindwa kukaa na Prof Assad katika mapambano ya rushwa katika ofisi za serikali hakika hakuna mwema katika CCM

Jaribu kutafakari majibu ya huyu mtu [emoji116][emoji116] ni [emoji706][emoji706] tupu
Mlianza kumhujumu Magufuli nyuma ya pazia
Mlipiaibishwa mmejitokeza hadharani sasa

Mtaendelea kuaibika hamtafanikiwa
 
CCM ilikuwa masikini lakini sasa CCM ni chama tajiri bila ya kufanya biashara yoyote, Takukuru na TRA nao waunganishe watupe ufafanuzi na majibu kuhusu utajiri wa CCM.
 
Duh! Uzi huu unatisha na kusisimua sana.
 
Awamu ya tano inaweza kuwa na upigaji kuliko awamu yoyote iliyopita.

Kwa sababu ineshawaqminisha wananchibwengi kwamba Magufuli ni rais mkali asiyetaka rushwa. Kuanzia hapo kupiga hela na kukataza CAG asikague vitabu, kibongo ni rahisi sana.
 
TZ tunarudi nyuma enzi za ukoloni.

Yaani kabisa kiongozi anasema kabisa ATCL isikaguliwe na madini yasikaguliwe halafu buku 7 wanafurahi.
Magu kaona kashavunja katiba kukataza mikutano ya kisiasa na hakuna yeyote aliyesema lolote.

Sasa kwa msingi huo anaona anaweza kufanya lolote.
 
unajua atakachofanya kujibu yote haya?

atamtuma CAG mpya afu ripoti itaenda kuandaliwa kule Chato.
ripoti hiyo itasafisha mkaa kwa sabuni!!
 
Serikali hufanya kazi kwa maandishi, na yapite katika mfumo rasmi, iandikie ofisi ya raisi utajibiwa.
 
Ni mwizi sana huyu jamaa. Hivi unaanzaje kumkataza CAG asikague sehemu fulani??? Na kwenyeMadini, ujenzi na uchukuzi ndio anatupiga kweli kweli.

KWANINI HUTAKI KUKAGULIWA WEWE POMBE WEWE?
 
unajua atakachofanya kujibu yote haya?

atamtuma CAG mpya afu ripoti itaenda kuandaliwa kule Chato.
ripoti hiyo itasafisha mkaa kwa sabuni!!
Kwani hukumbuki enzi za TRA kuvunja rekodi za mapato??
 
Pimbi katika ubora wake jibu hoja kama huyo rais wako ni msafi kwa nini anazuia miradi tajwa hapo juu isikaguliwe? Kwanini anazuia vyombo vya habari visifungue mdomo?
 
Hutajibiwa Kamwe!!. Sana Sana Utaitwa Mchochezi Full Stop!!
Akipatikana nyumbu, kamongo yeyote wa kijani kibichi akijibu hoja za mleta mada neno kwa neno, pointi kwa pointi nahamia ccm praise team, tena tujenge na hekalu tuanze kuabudu Jiwe.
 
Huyo ni fisadi kuliko mafisadi wote waliowahi kutokea hii nchi. Wakati anasimamia ujenzi wa barabara amekula dili na wakandarasi kupunguza upana wa barabara mita moja kila upande mara urefu wa barabara hela akalamba, bado barabara zote zimejengwa chini ya kiwango miaka hata mitano hajafika zimeshabomoka ushahidi ni hizi mvua za hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…