Wazalendo wote wa nchi hii njooni uku tujibiwe haya maswali na Serikali ya Rais Magufuli

Wazalendo wote wa nchi hii njooni uku tujibiwe haya maswali na Serikali ya Rais Magufuli

Aisee hana nia ya kutoka madarakani.
Atatoka atake asitake, iwe jua, iwe mvua, iwe kipigo cha kuchakaa au cha mbwa koko atatoka tu hata kwa moshi wa kisulisuli wa mashangazi wa Ruangwa au Mashangazi wa nchi nzima wataungana moshi wa kisulisuli lazima utamtoa baru arudi kwao Rwanda.
 
Ni mwizi sana huyu jamaa. Hivi unaanzaje kumkataza CAG asikague sehemu fulani??? Na kwenyeMadini, ujenzi na uchukuzi ndio anatupiga kweli kweli.

KWANINI HUTAKI KUKAGULIWA WEWE POMBE WEWE?
Great looter and plunder.
 
Huyu ni mwizi Mkubwa kulikoni wote walio mtangulia kiujumla hatufai kabisa atakuwa raisi wa kwanza kwenda Jela huyu
 
Atatoka atake asitake, iwe jua, iwe mvua, iwe kipigo cha kuchakaa au cha mbwa koko atatoka tu hata kwa moshi wa kisulisuli wa mashangazi wa Ruangwa au Mashangazi wa nchi nzima wataungana moshi wa kisulisuli lazima utamtoa baru arudi kwao Rwanda.
Uchaguzi huu wa serikali za mtaa ni "TRELA" wanasema "PATIGAZETI" 2020 ndio Balaa yaani jina linakatwa huku umeshikiwa mtutu.
 
1: Ununuzi wa ndege: Serikali yako imeshindwa kabisa kujibu tuhuma za kwamba unanua ndege cash ili upate 10% kama aya ni ya kweli inamaana kama umetumia 1.8 trion mpaka sasa kununua ndege 6.

Mpaka sasa kama unatupiga 10% inamaana tumeshapoteza 180bilion je ni ya kweli haya kama sio ya kweli kwa nini ofisi yako ipo kimya haijibu chochote? Kama sio ya kweli kwa nini CAG haruhusiwi kukagua ununuzi wa ndege na shirika letu la ATCL? kuna nini uko Mh Rais? ningepata majibu na Watanzania wangepata majibu ingekuwa vizuri.
Si kweli

2: Mh Rais Sector ya madini imekuwa pia haikaguliwi kwa nini? nini kinafichwa uko mbona waziri wako wa madini hasemi kwa nini sector hii haikaguliwi? Mh Rais watanzania sio vilaza kiivyo kama ulivyowaita watoto wetu kule UDOM wana uelewa mpana wa kuchanganua mambo hata kama hawaoni kama mimi ninavyoona ivi Mh Rais kwanini madini yanatoroshwa sana kule melelani Arusha?
Na yanasindikizwa na maafisa wa idala ya usalama wa taifa? wewe utabisha sana lakini maafisa wa Migiration umewaweka kwenye wakati mgumu sana kwa kupambana mizigo isivushwe maana inasindikizwa na watu wazito kweli naongea hivi nikiwa na ushahidi 100%.Mh Rais kumbe ndio maana wale polisi waliokamatwa na mzigo wa madini walisamehewa kwanini walisamehewa? kuna tuhuma kwamba kuna madini yanafichwa Rwanda je izi tuhuma ni uongo kama ni uongo kwa nini IKULU haikanushi ili swala? Mh Rais naomba uelewe watanzania sio wajinga hata kidogo naomba serikali yako ilete majibu.
Si kweli

3: Mh Rais Ujenzi wa SGR Je Unajua kwamba kampuni ya uturuki inayojenga SGR moja ya watu wenye hisa kwenye kampuni iyo ni Fisadi Rostam Aziz? alituma mtu baada ya kuona umekata milija ya wachina kujenga reli iyo akaenda kununua hisa kwenye iyo kampuni kwa kutumia mtu mingine je unayajua ayo ? Sizani kama uyajui na sizani kama Rostam alikuja kwa bahati mbaya IKULU sizani na sizani kama kukubali kwake kurudisha CHANEL TEN na MAGIC FM ni kwa bahati mbaya ni fadhira ya kazi yako uliyoifanya kwa either kwa kujua au kutojua.
Si kweli

Sasa kama hukubaliani na hayo majibu, itabidi ulete ushahidi.
 
unajua atakachofanya kujibu yote haya?

atamtuma CAG mpya afu ripoti itaenda kuandaliwa kule Chato.
ripoti hiyo itasafisha mkaa kwa sabuni!!
Na vile vyote ambavyo vilikua havikaguliwi vitaruhusiwa na report yake ni mafaida tu ambayo hayajawah kutokea nchi hii.
 
Mimi namwamini mno rais wangu Tabia ya mtu haifichiki na ingeshaonekana kitambo

Wewe endelea kumuamini kwavile hujui yaliyoko nyuma ya pazia. Je unaweza kutuambia nia yake ya kumteua mtoto wa dada yake kuwa katibu mkuu wizara ya fedha? Unajua miradi mingapi ameidhinisha bila idhini ya Bunge ? Unajua Miradi iliyotekelezwa na itakayotekelezwa huko kwao Chatto bila kupitia kwenye budget iliyopitishwa na Bunge? Jibu hayo maswali halafu endelea kumuamini!!
 
Ma Rais wote waliotangulia sijawahi kuwasikia kuwa wamekataza taasisi fulani isikaguliwe.CAG alikagua miradi yote na ripoti inapelekwa Bungeni inajadiliwa.sasa kwanini huyu anazuia isikaguliwe.huo ni wizi na ubinafsi mkubwa.
 
Rais Magufuli nilikusema kuhusu miradi inayoeendelea chato kupitia uzi huu Miradi inayoendelea chato inahitaji mjadala wa kitaifa ila sikujibiwa kilichofuata ni mimi kutukanwa na wafuasi wako kwamba ni siasa.

Mh Rais tuachane na hayo je miradi yako mikubwa inayotekelezwa kwa nini haina transparent?

1: Ununuzi wa ndege: Serikali yako imeshindwa kabisa kujibu tuhuma za kwamba unanua ndege cash ili upate 10% kama aya ni ya kweli inamaana kama umetumia 1.8 trion mpaka sasa kununua ndege 6.

Mpaka sasa kama unatupiga 10% inamaana tumeshapoteza 180bilion je ni ya kweli haya kama sio ya kweli kwa nini ofisi yako ipo kimya haijibu chochote? Kama sio ya kweli kwa nini CAG haruhusiwi kukagua ununuzi wa ndege na shirika letu la ATCL? kuna nini uko Mh Rais? ningepata majibu na Watanzania wangepata majibu ingekuwa vizuri.

2: Mh Rais Sector ya madini imekuwa pia haikaguliwi kwa nini? nini kinafichwa uko mbona waziri wako wa madini hasemi kwa nini sector hii haikaguliwi? Mh Rais watanzania sio vilaza kiivyo kama ulivyowaita watoto wetu kule UDOM wana uelewa mpana wa kuchanganua mambo hata kama hawaoni kama mimi ninavyoona ivi Mh Rais kwanini madini yanatoroshwa sana kule melelani Arusha?
Na yanasindikizwa na maafisa wa idala ya usalama wa taifa? wewe utabisha sana lakini maafisa wa Migiration umewaweka kwenye wakati mgumu sana kwa kupambana mizigo isivushwe maana inasindikizwa na watu wazito kweli naongea hivi nikiwa na ushahidi 100%.Mh Rais kumbe ndio maana wale polisi waliokamatwa na mzigo wa madini walisamehewa kwanini walisamehewa? kuna tuhuma kwamba kuna madini yanafichwa Rwanda je izi tuhuma ni uongo kama ni uongo kwa nini IKULU haikanushi ili swala? Mh Rais naomba uelewe watanzania sio wajinga hata kidogo naomba serikali yako ilete majibu.

3: Mh Rais Ujenzi wa SGR Je Unajua kwamba kampuni ya uturuki inayojenga SGR moja ya watu wenye hisa kwenye kampuni iyo ni Fisadi Rostam Aziz? alituma mtu baada ya kuona umekata milija ya wachina kujenga reli iyo akaenda kununua hisa kwenye iyo kampuni kwa kutumia mtu mingine je unayajua ayo ? Sizani kama uyajui na sizani kama Rostam alikuja kwa bahati mbaya IKULU sizani na sizani kama kukubali kwake kurudisha CHANEL TEN na MAGIC FM ni kwa bahati mbaya ni fadhira ya kazi yako uliyoifanya kwa either kwa kujua au kutojua.

Mh Rais je ni kweli kwamba wachina walishindwa kukupa 10% na waturuki unachukua 10% je aya niyakweli? kama hayana ukweli kwanini umekataa kuendelea kwa ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambayo ndio ingekuwa bandari kubwa East,Central and south of Africa continent na ingeweza kuudumia nchi si chini ya 10 kusini mwa jangwa la sahara.?

Mh Rais ivi wakitoa 10% awa wachina kweli utabaki namsimamo wako? tuyaache turudi kwenye SGR je kama hakuna ufisadi kwenye ujenzi wa SGR kwanini CAG harehusiwi kufanya ukaguzi uko? kuna nini cha ziada ? Nini kinafichwa uko?

Mh Rais ingekuwa vema kama serikali yako ingejitokeza na kutoa ufafanuzi wa kutosha kuhusu miradi ya ununuzi na ujenzi kugubikwa na ufisadi wa kutisha hasa ule 10% watetezi wako tunapata wakati mugumu sana kwa sababu mambo mengine tunayaona wenyewe kila kona ufisadi.

Ulichofanikiwa ni kuziba midimo ya media na wapinzani wako ili wasiseme ukweli kwa taarifa tu ni kwamba kampuni inayopewa tenda za ujenzi wa barabara ya Nyanza road sasa imefirisi nchi kwa kulipwa pesa na kushindwa kujenga barabara nchini, Mh Rais je unafikiri hatujui ufisadi unaendelea kwenye ujenzi wa MELI ndani ya ziwa victoria? Je ujenzi wa daraja la Busisi utakaoanza karibuni ufisadi wake wewe ufahamu?

Mh rais haya yote unayataka mwenyewe kwa kutoruhusu CAG Kukagua miradi yako ya ujenzi na madini, Mh Rais mimi nakupenda wewe na naipenda Tanzania na mimi ni mzalendo wa kweli nakwambia ukweli kuliko wanaokupaka mafuta kwa mgongo wachupa!

Nitasema ukweli daima funua ufisadi uliopo ndani ya serikali ruhusu mijadala iliyo huru, viache vyombo vya habari viwe huru ili watu wajue kunachendelea ndani ya serikali yako mimi nakuhakikisha usiporuhusu ukaguzi ulio huru Mh Rais Serikali yako itaweka rekodi ya kuwa serikali ya kifisadi kuliko serikali zote zilizokutangulia.

Mimi nakupenda nakwambia ukweli niliyoyaona ndani ya utawala wako toka mwaka 2015 mpka sasa sio mambo ya kunyamazia hata kidogo.

Mh Rais Watanzania sio wajinga hata kidogo.
Jizi kubwa limejifunika shuka la uzalendo na kupambana na ufisadi kumbe anataka aendelee kupiga hela peke yake na nyingine wanaficha kwao rwanda
 
Huyo ni fisadi kuliko mafisadi wote waliowahi kutokea hii nchi. Wakati anasimamia ujenzi wa barabara amekula dili na wakandarasi kupunguza upana wa barabara mita moja kila upande mara urefu wa barabara hela akalamba, bado barabara zote zimejengwa chini ya kiwango miaka hata mitano hajafika zimeshabomoka ushahidi ni hizi mvua za hivi karibuni.
Hata sasa zinajengwa barabara nyembamba mno ambapo ukiyumba kidogo kama mlikuwa mnaongozana basi ajali lazima itokee.barabara hazina zile sehemu za katikati yani ukivuka lazima uhakikishe umevuka na upande mwingine maana sehemu ya katikati inayozitenganisha barabara ni finyu.
 
Nimepita hapa kuangalia kama utaendelea kupatikana jamvini kuanzia siku chache zijazo.
 
Magufuli alipokuwa waziri wa ujenzi miradi yote na usimamizi wa pesa za barabara zilikuwa chini yake. Lakini barabara zilijengwa na Jk alijivunia. Ninachojaribu kusema kama angekuwa fisadi angejineemesha na pesa za barabara. Swali langu kwako mtoa mada je ni kweli raisi fisadi? ? Na uhakika gani ulionao kuwa miradi hiyo yote haitakaguliwa? Mimi namwamini mno rais wangu Tabia ya mtu haifichiki na ingeshaonekana kitambo
Vita iliyopo ni kali mno wote tunaijua Mungu atusaidie
Ni sheria tayari, madini, ndege CAG haruhusiwi kukagua.mnaishi wapi nyie! Kuna nn kinafichwa humo.
 
Back
Top Bottom