Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

aliyekuambia minazi imeisha ni nani? fanya research
Utafiti upi tena mkuu ambao sitatumia macho kuona kama imekufa.
Siambiwi naona mwenyewe kwa macho, wilaya ya nazi nyingi ni pangani kwa mkoa wa tanga kule ndo kuna waarabu wa minazi mingi lakini siku izi imekufa na ndo maana coconut annual yield ni ndogo sana kulinganisha na miaka ya nyuma.
 
Watanga mkuje uzi usipoe huu yaan wale chato watushinde na uz wao kwanz kwao porin[emoji18][emoji18][emoji18][emoji29][emoji29][emoji29][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwetu town tunaringa tanga 1
 
Haha
Central ipo chumbageni bhana.

Hapo kisosora ila ni upande wa nguvu mali huo kuna kota za jwtz wa kange.
Siyo central police.....pana jengo la ilikuwa community centre zamani huko....ikiwa watoka nguvumali, soko la kisosora kushoto centre kulia....
 
Back
Top Bottom