Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Unaona wanaume zetu hutupiga kwa upande wa khanga sasa kwa minyika ucharazwe makofi mpaka uso uvie damu
Ndo maana wamekaa ndani tu kama ndondocha kwa madawa yenu hayo hata kazi hawafanyi na imepelekea Tanga kuwa ghofu.
 
Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.

Wa T.A tujimwae mwae humu.

TANGA NDIO HOME
11889576_766359033475931_5319794118010682541_n.jpg

Mmeacha Kuwaroga Wageni na kupenda sana kuruka na Bombardier zenu za asili / kitamaduni hata Saa 6 mchana?
 
Ndo maana wamekaa ndani tu kama ndondocha kwa madawa yenu hayo hata kazi hawafanyi na imepelekea Tanga kuwa ghofu.
Twalima Mazao ya muda mrefu mkuu ukiwa na kiunga cha minazi na shamba la machungwa ni kuvuna na kufyeka majani tu
 
Twalima Mazarin ya muda mrefu mkuu ukiwa na kiunga cha minazi na shamba la machungwa ni kuvuna na kufyeka majani tu
Hakuna kilimo cha kimasikini kama hichi chenu, machungwa yamejaa ukungu, minazi pangani imeisha sijui mnategemea nini au bahari pia ni maji tu tunapiga picha tukiwa ufukweni basi.

Mbadilike nyie wabondei, wazigua, wasambaa na wadigo
 
Je ni kweli kwamba wadada wa tanga weng wao ni dual sim? Yan wanapenda kurukwa ukuta?
 
Mkuu huku milimani ni viazi mviringo, zucchini, coli, blukolin, sereli, karoti, vitiuti,cabage wenyewe wanaita mavovo. pilipili manga huko muheza na handeni nadhan, karibu sana ulaya ndogo( Usoto)
Ok, mchunga hamlimi maana nyie nasikia mboga mboga ndo zao lenu la biashara!
 
Hakuna kilimo cha kimasikini kama hichi chenu, machungwa yamejaa ukungu, minazi pangani imeisha sijui mnategemea nini au bahari pia ni maji tu tunapiga picha tukiwa ufukweni basi.

Mbadilike nyie wabondei, wazigua, wasambaa na wadigo
Siye tunaridhika na rizki ndogo haya mambo ya kujilimbkizia mali ndiyo mwanzo wa kumkufuru Muumba
 
Back
Top Bottom