Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Unaijua nyama ya kisimini wewe?
Ukilishwa hiyo, kwenu Chato hurudi tena.
Kuna nyama ya mkia wa kondoo...nyama ya ubavu wa mbweha.
Njoo...utasahau kwenu
Weshu, usiwatishe hawa. Waache waje halafu walishwe mavitu wasirudi kwao hawa wanyika. Tunahitaji nguvu kazi.
 
Back
Top Bottom