Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Aya buana, ila lafdhi yenu siku moja nilitoka kapa.
Kuna bibi nilikutana nae jioni nikiwa na siku 2 nifike tanga akanisalimia "wajionaje mwanangu" mimi hapo nkaangalia suruali faster kama ina tatizo kumbe alikuwa ananisalimia!
Ukiwa Tanga ongea Kiswahili cha Tanga
 
Eti watu wa Tanga nao wanawaita Watu wa Mikoani ,,wa kutoka Bara", hili lilinishangaza sana, nilifikiri ni msemo wa watu wa Dar tu!
Hatusemi " wa kutoka bara" au wa " mikoani" sisi tunawaita 'WANYIKA"
 
Back
Top Bottom