ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
- Thread starter
- #241
Naona wadau wengine wamecharuka naona wameanzisha thread yao ya Mwanza ila hawatuwezi Tanga ndio penyewe au sio wakuu twende sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliyekuambia minazi imeisha ni nani? fanya researchHakuna kilimo cha kimasikini kama hichi chenu, machungwa yamejaa ukungu, minazi pangani imeisha sijui mnategemea nini au bahari pia ni maji tu tunapiga picha tukiwa ufukweni basi.
Mbadilike nyie wabondei, wazigua, wasambaa na wadigo
Huko Muheza Amani, Tongwe ni mwendo wa iliki, pilipili manga na mdalasiniMkuu huku milimani ni viazi mviringo, zucchini, coli, blukolin, sereli, karoti, vitiuti,cabage wenyewe wanaita mavovo. pilipili manga huko muheza na handeni nadhan, karibu sana ulaya ndogo( Usoto)
Eti huyo daudthefarmer anasema minazi imekwisha. Hajui kuwa kituo kikubwa cha utafiti wa minazi na michungwa Tanzania nzima kipo pale agrikacha Mkanyageni.aliyekuambia minazi imeisha ni nani? fanya research
MlinganoEti huyo daudthefarmer anasema minazi imekwisha. Hajui kuwa kituo kikubwa cha utafiti wa minazi na michungwa Tanzania nzima kipo pale agrikacha Mkanyageni.
Chezea Tanga wewe.
Teeeeeh huna haya kuna chungwa tamu kama la tangaHakuna kilimo cha kimasikini kama hichi chenu, machungwa yamejaa ukungu, minazi pangani imeisha sijui mnategemea nini au bahari pia ni maji tu tunapiga picha tukiwa ufukweni basi.
Mbadilike nyie wabondei, wazigua, wasambaa na wadigo
Hajala machungwa ya Kibanda huyuTeeeeeh huna haya kuna chungwa tamu kama la tanga
Labda kama zatulia popatlal sec[emoji38] [emoji38] maana majani mapana nikipita sioni daliliZi tele
Asitushushe hadhHajala machungwa ya Kibanda huyu
Wataliweza wap jesh letu kubwa hiliNaona wadau wengine wamecharuka naona wameanzisha thread yao ya Mwanza ila hawatuwezi Tanga ndio penyewe au sio wakuu twende sawa
Dada pale wanapaita Mlingano lakini Mlingano penyewe (kijiji) ni kama maili tano kutoka pale ambapo kuna misheni ya wakatoliki.Mlingano
Hujawah tu kuziona lkn zipapoLabda kama zatulia popatlal sec[emoji38] [emoji38] maana majani mapana nikipita sioni dalili
Tunakula samak fresh kabisaNo place like TANGA.
Tanga raha jamani!
Umbuje!Tunakula samak fresh kabisa
Nghambia umbuje mbon huonekaUmbuje!
Osie nzezeMkuu huku milimani ni viazi mviringo, zucchini, coli, blukolin, sereli, karoti, vitiuti,cabage wenyewe wanaita mavovo. pilipili manga huko muheza na handeni nadhan, karibu sana ulaya ndogo( Usoto)
Ni kweli kabisamkuu like kanisani lulijengwa na wajerumani mainly kwa sisal workers. Mama alumihadithia ilibidi watembee kutoka Tongwe luwahi misa Mlingano wakati huo parokia ya Muheza ilikuwa bado haijakengwaDada pale wanapaita Mlingano lakini Mlingano penyewe (kijiji) ni kama maili tano kutoka pale ambapo kuna misheni ya wakatoliki.
Jina la ile research station ni Mlingano lakini pale ilipo ni Mkanyageni.