Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Dada pale wanapaita Mlingano lakini Mlingano penyewe (kijiji) ni kama maili tano kutoka pale ambapo kuna misheni ya wakatoliki.

Jina la ile research station ni Mlingano lakini pale ilipo ni Mkanyageni.
 
Ni kweli kabisamkuu like kanisani lulijengwa na wajerumani mainly kwa sisal workers. Mama alumihadithia ilibidi watembee kutoka Tongwe luwahi misa Mlingano wakati huo parokia ya Muheza ilikuwa bado haijakengwa
 
Back
Top Bottom