Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.

Wa T.A tujimwae mwae humu.

TANGA NDIO HOME
mkuu unafahamu massage centre yoyote iliyopo hapa tanga
 
kuna mtu yoyote anafahamu massage centre yoyote hapa tanga
 
Usagara ,bandari mikajuni donge barabara 3 ...kwani kwa tafutwani tanga raha sana ..jigari jidaraja jisimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…