Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Nipo Mwifwa ila jana nilikuwa na mambo mengi ya kufanya nyumbani , huku niliingia kwa muda mfupi.

Tanga ndio nyumbani [emoji2]
Kumbe!

Nimeona umechangia kwenye huu uzi hadi nimeshindwa kujizuia kutokuuliza.

Tanga naipata kidogo kama mitaa ya Msambweni, chumbageni, Raska zone, Tanga fresh na Lushoto japo mi sio wa huko.
 
Kumbe!

Nimeona umechangia kwenye huu uzi hadi nimeshindwa kujizuia kutokuuliza.

Tanga naipata kidogo kama mitaa ya Msambweni, chumbageni, Raska zone, Tanga fresh na Lushoto japo mi sio wa huko.

Usijali mwifwa nitakukaribisha tena siku moja nikienda likizo upate kuuona ukarimu wa watu wa Tanga. [emoji2] [emoji2]
 
Nasikia watu wa Tanga wana miuno feni. ..sasa sijui walikua wana mana gani asee ebu njooni mtoe ufafanuzi wa hiyo statement coz sisi wazee wa chato kiswahili kilishatupiga chenga siku nyingi
 
Nasikia watu wa Tanga wana miuno feni. ..sasa sijui walikua wana mana gani asee ebu njooni mtoe ufafanuzi wa hiyo statement coz sisi wazee wa chato kiswahili kilishatupiga chenga siku nyingi
Wewe kipige ngwara
 
Mijitu ya bara utaijuatu kwamambo yao yakipuuzi, mashogo yote maarufu insta ni mibara, mambo yakuua vikongwe, kuchunana ngozi yote yanatokea kwao. Sifa zakijinga maneno yakifedhuli yamewatawala
Inabidi kuwachukulia kama walivyo kwa sababu kama ushoga au huo uganga hauna mwenyewe.

Yasubirie tu maneno machafu kama hayo kwa sababu wenye mawazo kama hayo hawatakosekana.
 
Back
Top Bottom