ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
- Thread starter
- #341
umevuka ila hujapataja Bweni ,Mimi ni wa Pangani Mjini kama ni mwenyeji Mzee wangu ni ALMaarufu kwa Jina Shariffu Saidi HassanPangani kubwa, kipumbwi, mkalamo, madanga, sakura au masaika?