Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kwani wewe unatuonajekwani nyote mna microwave
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe unatuonajekwani nyote mna microwave
Nenda solo la Ngamiani uwangojee wakiwa wananinua mahitajiMi cyo Wa tanga ila natafuta mwanamke wa kitanga
NAWASILISHA
Kwani wewe unatuonaje
Mimi wa msamvu nduguKihonda kwa chambo
Tutake radhi aiseeteeeh nawaona washamba
Duuh una vidonda vya tumbo?saa hizi sijafunga mkuu
[emoji3]kama vipi twende rafiki!Mmhh. Wacha weee
[emoji3]kuna kitu nakitafuta nkikipata utanijua vizuriAmeshaanza kustaarabika si unamuona kaanza kupoa tofauti na comments zake za mwanzo [emoji23] [emoji23]
Kutulizwa rafikiNini kinakufanya uogope sasa?
Sidhani kama atarudi!Usijali mwifwa nitakukaribisha tena siku moja nikienda likizo upate kuuona ukarimu wa watu wa Tanga. [emoji2] [emoji2]
Sipojui mkuu,npe mongozoNenda solo la Ngamiani uwangojee wakiwa wananinua mahitaji
Usijali nikumbushe tu siku ikifika rafiki[emoji3]kama vipi twende rafiki!
Tanga stand uuuuuuup!Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.
Wa T.A tujimwae mwae humu.
TANGA NDIO HOME![]()
Na wala hutakipata [emoji125] [emoji125][emoji3]kuna kitu nakitafuta nkikipata utanijua vizuri
[emoji124] [emoji124]Kutulizwa rafiki