Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Umekariri mkuu
 
Amna mkuu watu wanafunga kuanzia saa 11alfajir nawew uliniuliza za usiku ndio mana nikakuambia saa hiz sijafunga ila muda huu nimefunga
Hehe aya buana. Muda wenyewe wa iftari umefika karibia tukifinye mkuu
 
Watu wa Tanga,Uzi huu ufanyeni wa maendeleo,wenye kujuwa biashara,wawajuze wenzao,biashara zinavyokwenda.Wakulima,wawape wenzao,mbinu za kilimo bora,wafugaji,wafanyakazi,wajasriamali,toeni elimu zenu hapa,muendeleze mkoa wenu.Acheni kukejeleani kimakabila,kwenye jambo la kitaifa la kimaendeleo,mnaweka kando ukabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…