Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wale wa Donge kwa Majuto mpo wapi? Na wa Kiboi

Hate me at your own risk
 
Haya Watanga huu uzi umetusaidia kujuana na kusalimiana. Zaidi ya salamu sasa naona tupeane mizungu.

Ni biashara au mradi gani wewe ungeufanya (popote mkoani Tanga) ambao unadhani ungelipa lakini huna mtaji?

Tafadhali katika hii miradi unayopendekeza usifikirie ile inayohitaji mitaji ya vijisenti senti tu. Hata kama wazo lako lingehitaji mtaji wa maelfu au mamilioni ya dola za kimarekani we weka tu.

This is serious, kuna fedha zimezagaa tu na zinatafuta uwekezaji. Wazo lako litakuwa ni tija kwa mkoa wetu hata kama muwekezaji sio mtanga au mtanzania.

Najitolea kuwa mratibu wa haya mawazo ya miradi. Wazo lako litaratibiwa kama ifuatavyo:

1. Mleta wazo
2. Aina ya mradi au biashara inayopendekezwa (toa maelezo mazuri na ya kirefu)
3. Sehemu (mkoani Tanga) ya huu mradi.
4. Kwa nini unafikiria ni biashara/mradi mzuri (mali ghafi, soko, n.k).
5. Kuna mtu mwengine anaefanya biashara kama hiyo mkoani Tanga?
6. Mtaji, kama unajua lakini sio lazima. Kutokana na maelezo ya wazo lako tutajua mtaji gani utakaohitajika.

Nitayaorodhesha haya mawazo halafu nitaleta hapa jukwaani muhtasari wake kwenye spreadsheet.
 
de king is in de hausi

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Tunakujaga kweny maulid huko maulid ya nnyanjani nisalimie ostadh muhammad
Alaaaaa sawa ,,kwan bado upo Tanga? Me nipo Dar iLa juzi juzi thu nimetoka huko kwenye Maadhimisho Ya Tamta day tareh 30,,nikakaa kuisubiria Maarif Day...hivi nimeingia Jana Daresalaama

Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
 
Haya Watanga huu uzi umetusaidia kujuana na kusalimiana. Zaidi ya salamu sasa naona tupeane mizungu.

Ni biashara au mradi gani wewe ungeufanya (popote mkoani Tanga) ambao unadhani ungelipa lakini huna mtaji?

Tafadhali katika hii miradi unayopendekeza usifikirie ile inayohitaji mitaji ya vijisenti senti tu. Hata kama wazo lako lingehitaji mtaji wa maelfu au mamilioni ya dola za kimarekani we weka tu.

This is serious, kuna fedha zimezagaa tu na zinatafuta uwekezaji. Wazo lako litakuwa ni tija kwa mkoa wetu hata kama muwekezaji sio mtanga au mtanzania.

Najitolea kuwa mratibu wa haya mawazo ya miradi. Wazo lako litaratibiwa kama ifuatavyo:

1. Mleta wazo
2. Aina ya mradi au biashara inayopendekezwa (toa maelezo mazuri na ya kirefu)
3. Sehemu (mkoani Tanga) ya huu mradi.
4. Kwa nini unafikiria ni biashara/mradi mzuri (mali ghafi, soko, n.k).
5. Kuna mtu mwengine anaefanya biashara kama hiyo mkoani Tanga?
6. Mtaji, kama unajua lakini sio lazima. Kutokana na maelezo ya wazo lako tutajua mtaji gani utakaohitajika.

Nitayaorodhesha haya mawazo halafu nitaleta hapa jukwaani muhtasari wake kwenye spreadsheet.
Nimeukumba huu uzi bahati mbaya na post nzuri niliyoiona ni hii na hapo hapo hakuna mdau yeyote wa Tanga aliyeichangamkia hii post.

Sky Eclat na mleta uzi mmesema waTanga siyo wavivu haya chekecheni bongo uzi wenu uwe una maana.

Godspeed.
 
1-5.jpg 3X6A7732-660x400.jpg 3X6A7739.jpg 3X6A7745.jpg 5-2.jpg 4727674-Tanga_Airoprt_Tanzania_Zanzibar_Island.jpg 4967297.jpg
 
Back
Top Bottom