ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
- Thread starter
- #781
wazo langu ni kutengeza home stay kwa ajili ya wageni namaanisha watalii wanaofika maeneo ya tanga hasa wilaya ya pangani
gharama nafatilia ila ata nikifafanua nini nitafaidika na nin zaid nishamfaidisha mwengne ambaye atacopy idea yangu ?
gharama nafatilia ila ata nikifafanua nini nitafaidika na nin zaid nishamfaidisha mwengne ambaye atacopy idea yangu ?