Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
[emoji124] ...... wa pande za pangani tupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji124] ...... wa pande za pangani tupo
Tena kituko haswaInabidi uelewe maana ya bara na pwani ili ujue mantiki ya huo msemo, la sivyo wewe ndio unakuwa kituko.
Suala la kujua Tanga ni bara au sio si lazima mtu afike Tanga bali jiografia ya STD IV yatosha kumhabarisha kuwa Tanga ni pwani mwanana ktk Afrika mashariki.Ndo nimekuja kujua baada ya kufika Tanga, kwamba kumbe Tanga si Bara!
Suala la kujua Tanga ni bara au sio si lazima mtu afike Tanga bali jiografia ya STD IV yatosha kumhabarisha kuwa Tanga ni pwani mwanana ktk Afrika mashariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawaita WanyikaEti watu wa Tanga nao wanawaita Watu wa Mikoani ,,wa kutoka Bara", hili lilinishangaza sana, nilifikiri ni msemo wa watu wa Dar tu!
Wacha weee. Nitakuja pande hizo mwezi wa tisa. [emoji12][emoji124] ...... wa pande za pangani tupo
Karibu sana,nitakuandalia samaki wa kumwagaWacha weee. Nitakuja pande hizo mwezi wa tisa. [emoji12]
Usijali swahiba. Usiniache hewani tu.Karibu sana,nitakuandalia samaki wa kumwaga
Manta hofu swahibaUsijali swahiba. Usiniache hewani tu.
Huenda huko Lindi na Mtwara hawaitambui thamani ya "mwanapwani" but in Tanga-line we are proud of our native.Mtwara na Lindi pia ni Pwani lkn mbona hawawaiti watu ktk Mikoa mingine
,, wa kutoka Bara" ?
Huenda huko Lindi na Mtwara hawaitambui thamani ya "mwanapwani" but in Tanga-line we are proud of our native.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanga city ndio emblem ya mkoa wote na sisi wote mkoa mzima tumejificha nyuma yake.Lkn Tanga inategemea Tanga ipi, kuna Tanga Mkoa na kuna Tanga city, hivyo ni vitu viwili tofauti!
Tuanze na wew umesom shule ganBusara zitawale watu wa tanga maana kuna watu ni chokochoko ilimrad kuharibu upepo kwenye hili kundi.hebu tujuzane shule tulizosoma jamani na wale wakuu wa shule wetu
galanos skuli penda watotoTuanze na wew umesom shule gan
Hayo ni mabadiliko ya dunia nzima,kwa ujumla ndivyo ilivyo sasa kama ulitaka kubakie kama kulivyokua enzi za ukoloni kaa ukijua haitakaa iwezekane kwasababu population has increased 20 times ilivyokua enzi hizo,sasa unategemea wakaweke wapi makazi na ukija kwenye suala la mazingira theoritically"as the population increase the rate of environment dischage become higher"Utafiti upi tena mkuu ambao sitatumia macho kuona kama imekufa.
Siambiwi naona mwenyewe kwa macho, wilaya ya nazi nyingi ni pangani kwa mkoa wa tanga kule ndo kuna waarabu wa minazi mingi lakini siku izi imekufa na ndo maana coconut annual yield ni ndogo sana kulinganisha na miaka ya nyuma.
Una maanisha mashamba ya minazi yaliyoko kando ya mto pangani(ambayo ndo sehemu kubwa ya zao la nazi) siku hizi wanakaa watu??Hayo ni mabadiliko ya dunia nzima,kwa ujumla ndivyo ilivyo sasa kama ulitaka kubakie kama kulivyokua enzi za ukoloni kaa ukijua haitakaa iwezekane kwasababu population has increased 20 times ilivyokua enzi hizo,sasa unategemea wakaweke wapi makazi na ukija kwenye suala la mazingira theoritically"as the population increase the rate of environment dischage become higher"
Noo that is not my point,tunapaswa kujiuliza kwanza chanzo cha minazi hiyo kutoweka ni kipi? Kwa mtazamo wangu mimi nimefanya corelation kati ya population density na environment degradation, infact ukizingatia inawiana japo inaweza ikawa si chanzo cha minazi hiyo kutoweka.i think umenielewa.Una maanisha mashamba ya minazi yaliyoko kando ya mto pangani(ambayo ndo sehemu kubwa ya zao la nazi) siku hizi wanakaa watu??
brain is the beautiful part of the body.
maawal islamic sec school ndipo niliposoma na msingi alhijra islamic primary school zote ndani ya mkoa wa tangaBusara zitawale watu wa tanga maana kuna watu ni chokochoko ilimrad kuharibu upepo kwenye hili kundi.hebu tujuzane shule tulizosoma jamani na wale wakuu wa shule wetu