Nisalimie mnyanjaniKuanzia Tanga sisi,mwan'ombe,mwakidila,msige,mwaminji,jaje,masiwani shamba,,rudi mpaka mwambani na Mwahako .....Kama upo nakusalimia Asalaam aleikum[emoji56][emoji56]
Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
ZimefikahNisalimie mnyanyani
Tunakujaga kweny maulid huko maulid ya nnyanjani nisalimie ostadh muhammadZimefikah
Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
mkongoloni?njo mlalo
Alaaaaa sawa ,,kwan bado upo Tanga? Me nipo Dar iLa juzi juzi thu nimetoka huko kwenye Maadhimisho Ya Tamta day tareh 30,,nikakaa kuisubiria Maarif Day...hivi nimeingia Jana DaresalaamaTunakujaga kweny maulid huko maulid ya nnyanjani nisalimie ostadh muhammad
Nimeukumba huu uzi bahati mbaya na post nzuri niliyoiona ni hii na hapo hapo hakuna mdau yeyote wa Tanga aliyeichangamkia hii post.Haya Watanga huu uzi umetusaidia kujuana na kusalimiana. Zaidi ya salamu sasa naona tupeane mizungu.
Ni biashara au mradi gani wewe ungeufanya (popote mkoani Tanga) ambao unadhani ungelipa lakini huna mtaji?
Tafadhali katika hii miradi unayopendekeza usifikirie ile inayohitaji mitaji ya vijisenti senti tu. Hata kama wazo lako lingehitaji mtaji wa maelfu au mamilioni ya dola za kimarekani we weka tu.
This is serious, kuna fedha zimezagaa tu na zinatafuta uwekezaji. Wazo lako litakuwa ni tija kwa mkoa wetu hata kama muwekezaji sio mtanga au mtanzania.
Najitolea kuwa mratibu wa haya mawazo ya miradi. Wazo lako litaratibiwa kama ifuatavyo:
1. Mleta wazo
2. Aina ya mradi au biashara inayopendekezwa (toa maelezo mazuri na ya kirefu)
3. Sehemu (mkoani Tanga) ya huu mradi.
4. Kwa nini unafikiria ni biashara/mradi mzuri (mali ghafi, soko, n.k).
5. Kuna mtu mwengine anaefanya biashara kama hiyo mkoani Tanga?
6. Mtaji, kama unajua lakini sio lazima. Kutokana na maelezo ya wazo lako tutajua mtaji gani utakaohitajika.
Nitayaorodhesha haya mawazo halafu nitaleta hapa jukwaani muhtasari wake kwenye spreadsheet.
Mkongoloni kwa mbele tupo missionmkongoloni?
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
poa shunie we belong togetherMkongoloni kwa mbele tupo mission
Okay my kakapoa shunie we belong together
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Haya Watanga huu uzi umetusaidia kujuana na kusalimiana. Zaidi ya salamu sasa naona tupeane mizungu.