ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
- Thread starter
-
- #781
Hamn sipo tanga muda ila kila nikija huko nilazima tanga niendeAlaaaaa sawa ,,kwan bado upo Tanga? Me nipo Dar iLa juzi juzi thu nimetoka huko kwenye Maadhimisho Ya Tamta day tareh 30,,nikakaa kuisubiria Maarif Day...hivi nimeingia Jana Daresalaama
Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
Oooh sawa bhna ,,sie tupoHamn sipo tanga muda ila kila nikija huko nilazima tanga niende
Hahahaha haya banaKaribuni gahawa jamani barabara 18
Post sent using JamiiForums mobile app
Tutake radhi kijanaWanaume wa Tanga karibia wote ni walaini ka dada zao vile,hivi kwa nini jamani???
Watake radhi kaka zetu aiseeWanaume wa Tanga karibia wote ni walaini ka dada zao vile,hivi kwa nini jamani???
Tutake radhi kijana
MmhWanaume wa Tanga karibia wote ni walaini ka dada zao vile,hivi kwa nini jamani???
Naonaje wakati nakushangaa.We unaonaje mkuu??
Mh! Upo mpaka huku?Tupo pamoja. Tanga nyumbani hakuna sehemu kama Tanga
Nipo Mkuu, Tanga nyumbani. Ninapoana neno Tanga lazima nipate na shauku ya kuipitia hiyo thread.
Busara zitawale watu wa tanga maana kuna watu ni chokochoko ilimrad kuharibu upepo kwenye hili kundi.hebu tujuzane shule tulizosoma jamani na wale wakuu wa shule wetunamim pia nasubir jibu mana sijamuelewa
Ngaz ngaz kwa sasi kona.. hahaha
Lwa a auto ya konda wa dalala..
Dah enzi hizoooo.. ndani ya galanos school[/QUOTGalanos mwaka gani kamanda?