Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Busara zitawale watu wa tanga maana kuna watu ni chokochoko ilimrad kuharibu upepo kwenye hili kundi.hebu tujuzane shule tulizosoma jamani na wale wakuu wa shule wetu
Tuanze na wew umesom shule gan
 
Hayo ni mabadiliko ya dunia nzima,kwa ujumla ndivyo ilivyo sasa kama ulitaka kubakie kama kulivyokua enzi za ukoloni kaa ukijua haitakaa iwezekane kwasababu population has increased 20 times ilivyokua enzi hizo,sasa unategemea wakaweke wapi makazi na ukija kwenye suala la mazingira theoritically"as the population increase the rate of environment dischage become higher"
 
Una maanisha mashamba ya minazi yaliyoko kando ya mto pangani(ambayo ndo sehemu kubwa ya zao la nazi) siku hizi wanakaa watu??

brain is the beautiful part of the body.
 
Una maanisha mashamba ya minazi yaliyoko kando ya mto pangani(ambayo ndo sehemu kubwa ya zao la nazi) siku hizi wanakaa watu??

brain is the beautiful part of the body.
Noo that is not my point,tunapaswa kujiuliza kwanza chanzo cha minazi hiyo kutoweka ni kipi? Kwa mtazamo wangu mimi nimefanya corelation kati ya population density na environment degradation, infact ukizingatia inawiana japo inaweza ikawa si chanzo cha minazi hiyo kutoweka.i think umenielewa.
 
Busara zitawale watu wa tanga maana kuna watu ni chokochoko ilimrad kuharibu upepo kwenye hili kundi.hebu tujuzane shule tulizosoma jamani na wale wakuu wa shule wetu
maawal islamic sec school ndipo niliposoma na msingi alhijra islamic primary school zote ndani ya mkoa wa tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…