Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wakati umefika wa kupanga namna ya kukutana na kufahamiana, ikiwezekana hata kufanya kitu cha pamoja kwa wana tanga
 
mimi niko huku kikazi na ndio nyumbani....barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami kuanzia njia panda ya msambweni mpaka sahare....karibuni Tanga wakuu
 
Kama nimeishi handeni na pangani Mimi si nusu mtanga jamani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…