Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

mimi niko huku kikazi na ndio nyumbani....barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami kuanzia njia panda ya msambweni mpaka sahare....karibuni Tanga wakuu
Good,wapite mpaka maeneo ya Makorora kulikokuwa na lami miaka ile...
 
Usiniambie..
Ule mchanga wa pale Msambweni kuelekea Gatundu haupo tena?
mimi niko huku kikazi na ndio nyumbani....barabara zinajengwa kwa kiwango cha lami kuanzia njia panda ya msambweni mpaka sahare....karibuni Tanga wakuu
 
Wa Tanga mpo
(Mzigua,Shunie Sky eclat, ukhty na wengineo
Mkuje uku)

Soi kunu
 
Uzi maalumu kwa wana JF walio zaliwa Mkoa wa Tanga
Hata kama haupo Tanga ila Tanga ndio Nyumbani basi husika Hapa.
Dhumuni ni kufahamiana.

Wa T.A tujimwae mwae humu.

TANGA NDIO HOME
Umekosea sana. Ulipaswa uandike 'Wenyeji wa Tanga'. Inawezekana mtu akazaliwa kagera lakini wazazi wake wana asili ya Tanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…