Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Hapo patamu mkuu
ndio maala pazuri pakujuana wanandugu
Kwamajina Ally s mhando
ila kwa sasa au kimakazi kwa ujumla niko Mkoa Wa Arusha kwetu hasa Tanga Korogwe
navijiji nilivyo wahi kutembelea :ambangulu,bungu,lutindi,kwemasimba,antakae,msambiazi,gudusheni,maurui,mgobe,chekereni kiluani...nk
Sasa be mimi ninandugu zangu upande wa Baba yetu mkubwa Juma mohamed u mhando jinalautani hapo kijijini Mgobe alijulikana kwajina Kanyambo
Huyu babayetu amepotezana na watoto wake yani niseme ndugu zetu
watoto wake:Mhando Juma mhando pamoja na dada mtu Lulu juma Mhando popote kama wataupitia uzi huu wa
wazaliwa wa mkoa Tanga
basi tukumbukane kupitia namba hizi 0754633646 Arusha
0785849650 Morogoro
065310411 Dar esalam
0656439110 moshi
undugu kujuana na kujuliana hali pamoja na kutafutana
Nawapongeza wote Wazaliwa wa Tanga
 
Yaani wewe hii comment yako imenikumbusha mbali 2007 nilikutana na wakaka wa ki-Ganda kazini basi walipojua mimi m-Tanzania sikumoja mmoja aliniambia kumbe wanawake wa ki-Tanzania pia wanasoma sisi tunajua ni wazuri wa kupika pilau na chapati. Uhusiano wetu uliishia pale.
Kwanini uhusiano wenu uishie hapo au ulichukulia kama ni kejeli flani hivi au?
 
Back
Top Bottom