Wazamani (wahenga) tukutane hapa

Hahahahaaaaaa.....Yaaaani nacheeeka sina mbavu..!
 
Samahani mzee..naomba unijuze je migahawa ya butiama na shibamu iliyopo magomeni ni ile ile iliyopo hadi leo na je maeneo ni yale yale hadi sasa?

uliitaja hii migahawa kwenye simulizi yako ya hamida
Maeneo ni yaleyale, ila Butiama hakujabadilika sana lakini kidogo Shibam kumebadilika

James Jason
 
Hio ya chini sio Vespa?
Wengi wanachanganya kati ya:-
Batavuz
na Vespa ama Scooter.

Nimekumbuka miaka ya 1980 kulikuwa na "Bajaj" mtaa wa Sunna Magomeni, alikuwa akiiendesha mzee mmoja wa Kipemba somebody Mganda (au baba Mganda or something). Alikuwa anabulemavu wa miguu.

Wakati huo Kampuni ya simu bado hawakiwa nazo!

James Jason
 
Duh unajua hadi mtaa wa Suna? Suna si bondeni kiaina. Bado nakumbuka Mitaa kutoka chini kitonga,korongo,kongwa,dossi,tosheka,idrissa,...,mwisho garden ni uwalani au kiwalani.
Kuna ule unatoka juu hadi chini mkadini
 
Duh unajua hadi mtaa wa Suna? Suna si bondeni kiaina. Bado nakumbuka Mitaa kutoka chini kitonga,korongo,kongwa,dossi,tosheka,idrissa,...,mwisho garden ni uwalani au kiwalani.
Kuna ule unatoka juu hadi chini mkadini
Mkadini hahhahhaa, kulikuwa na chimbo la Safari, Pilsiner na Konyagi

James Jason
 
Mbowe,DDC (Kariakoo/Magomeni Kondoa), Imasco, Lang'ata, Mambo club, Rungwe oceanic, Silver sands, Msasani beach, La Dolce vita, Casanova
Imasco [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Tuletee za maharage kupimwa kwa lita! Hii issue ilileta kizaazaa 😀 😀 😀 😀 😀 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee ujue mimi nawashangaa mnaoshangaa. Kama inawezekana kupimwa kwa debe nini cha ajabu kupima kwenye lita?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee ujue mimi nawashangaa mnaoshangaa. Kama inawezekana kupimwa kwa debe nini cha ajabu kupima kwenye lita?
Wala sijashangaa coz nilielewa straight away, ni maharage yanajazwa kwenye kikopo cha lita moja. Wenzio wamekariri lita ni kipimo cha vimiminika
 
R.T.D kipindi cha Bujaga izengo kadago,kilikua kinaitwa Ngoma zetu asilia,

Tangazo la IPP "Ah! mama Mariam vipi?...Hizi nguo dadaangu,nimetumia kila aina ya sabuni lakini bado tu hazitakati!!" "Si utumie Komesha"
 
Kipindi cha "Chei chei Shangazi'
Mama na mwana,
Kombora saa 11 asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…