Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,844
Hahahahaaaaaa.....Yaaaani nacheeeka sina mbavu..!Hio kweli mkuu, meli imeondoka ikaenda kule mbele ikaweka nanga kama wiki hivi,jamaa wanaibuka chimbo usiku kucheki mataa ya Oysterbay wakajua washafika kwa Madiba wakajitosa kwenye maji wameogolea kufika ufukweni wanakutana na kibao 'USIOGELEE HAPA' hapo ndio wakajua wameibukia coco beach!