Wazamani (wahenga) tukutane hapa

Wazamani (wahenga) tukutane hapa

Yolanda. sabuni kodrai. kampuni ya mafuta Bp na caltex. Jumba la sinema shani, sapna, avalon. baiskeli ya swala. avon. phoenix.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umesahau fete fete, tegetelo,shemeji shemeji video, salah kamuuwa Katewa,Mkude veve karuka Daraja la Kagera.Namit na kadi.Daladala la chambo tuu
 
Ila alikuwa anauza karanga nzuri balaa! Tatizo ukimsikia na manyanga yake anakuja unakimbia unaenda kujificha chini ya kitanda!
Huyu mzee mitaa ya kwetu na kapu lake mkononi na manyanga alikuwa maarufu sana. Yeye na kichaa mmoja alikuwa anaitwa Kejeli!!
 
1586714646268.png

JBourne59 hii tulikuwa tunaiita "Skuta" au kwa jina lake halisi ni "Scooter".

Hii hapa chini ndiyo Batavuzi!!

1586714506940.png
 
Sisi wa uswahilini mitaa ya mabibo maeneo ya kujidai ni kama mwisho ni Magomeni. Kwa mara ya kwanza kuona video ilikuwa pale Morocco Hoteli.
 
Sancho simkumbuki. Ila maisha ya zamani yalikuwa simple sana
Sana. Nakumbuka Manzese yote, Mburahati, Mabibo, Sinza, Tandale, na magomeni yote vituo vya polisi vilikuwa viwili tu. Urafiki na Magomeni. Kote huko wananchi walikuwa wanajilinda wenyewe na kuendesha maisha yao kwa jinsi wanavyoona!!
 
Back
Top Bottom