Wazamiaji wa Kiafrika nchini Ukraine wakiwa hawajui la kufanya wala jinsi ya kuondoka

Hii habari ya uongo hizi story ni wazamiaji wa Africa wanaokwenda ulaya kupigia libya
Iwe ya uongo au kweli na meseji ingekuwaje watanzania kuona Ukraine kuko vizuri wakati wa amani lakini kwenye vita hao watanzania walioko Ukraine hawasimami bega kwa bega na Ukraine kwenye vita?

Siongelei msimamo wa nchi unaongelea msimamo wa hao watanzania ambao waliona Ukraine kuzuri iwe masomo whatever ikabidi wawe na wa Ukraine

Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki.Walikimbia mfano kusoma kule sababu waliamini maisha yataenda kupata elimu bora

Sasa Ukraine wako kwenye shida wanakimbia kurudi nyumbani Tanzania sijapenda hiyo tabia
Walitakuwa kuwa kidete na Ukraine
 
Mods ufutwe, mtoa mada katulisha matango pori
 
Unaskia rahaaaaa mwenyewe kutudanganya watu wazima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao watanzania waliokuwa Ukraine walikwambia kama wanahitaji uraia wa Ukraine?
 
Habari umejiongeza hiyo acha kutuchukuria poa weh boya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…