Nguvu gani unaongelea mkuu? Kama unamaanisha kupiga kelele mitandaoni na kwenye mikutano ya siasa ama vijiwe vya kahawa sahau kupata katiba mpya..kama hatutadai kwa nguvu zetu zote
Na kwanini Mzanzibar anaongoza wizara zisizo za muungano huku bara wakati Mtanganyika hawezi kuongoza wizara zisizo za muungano Zanzibar ?Hii ni serikali ya muungano, sio serikali ya Tanganyika, hivyo basi yeyote kutoka pande yeyote ya muungano ,anaweza kuwa waziri
Kwasababu serikali ya Zanzibar ni kwa ajili ya Wazanzibari tuuu, ila serikali ya muungano ni kwa wote wazanzibar na watanganyika.Na kwanini Mzanzibar anaongoza wizara zisizo za muungano huku bara wakati Mtanganyika hawezi kuongoza wizara zisizo za muungano Zanzibar ?
Hii ni kwa mujibu wa kanuni zipi ?Kwasababu serikali ya Zanzibar ni kwa ajili ya Wazanzibari tuuu, ila serikali ya muungano ni kwa wote wazanzibar na watanganyika.
Kwasababu serikali ya Zanzibar ni kwa wazanzibari tuu, asie Mzanzibari marufuku, ila serikali ya muungano ni changanyikeniOk ni serikali ya muungano, mbona hatuendi kuwa mawaziri au makatibu wa wizara mbalimbali Zanzibar?
Mambo ya muungano sio kuchagua waziri,mtanzania yeyote kutoka popote anayo haki ya kuwa waziri kwenye serikali ya muungano, narudia hii sio.serikali ya TanganyikaKasome vizuri mambo ambayo ni ya muungano na mambo yasiyo ya muungano.
Hivi unajua Rais wa Muungano kuna mambo ambayo hana mamlaka nayo upande wa Znz?
Kwa mujibu wa taratibu za serikali yetu ya muungano, ndio maana mama anachagua , wewe ukisema kakosea ndio ulete sababu na hiko kifungu chakoHii ni kwa mujibu wa kanuni zipi ?
Kama mzanzibar anaweza kuwa rais wa Tanzania na Tanzania Bara (Tanganyika), iweje iwe ngumu raia wa zenji kuongoza huto tu taasisi twenu ?Habari wanajamvi,
Wiki hzi tatu au mwezi huu tumekuwa na mijadala mingi hasa inayohusu uteuzi na teuzi mbalimbali.
Kinacholeta mjadala kingine ni katika masuala ya Muungano, Nacho nauliza kama ifuatavyo:
1. Je, inaruhusiwa kwa Mzanzibari kuongoza Wizara/taasisi ambayo haipo katika masuala ya Muungano, mfano Afya?
2. Kama ni sahihi, je mbona Watanganyika hatupewi nafasi za kuongoza wizara/taasisi zisizo za muungano kule Zanzibar?
3.Kama si sahihi, je ni kwa nini kinafanywa na nini kifanyike?
Gereza la fikra ni baya sana, hivi hapo mlipo au ulipo ni kipi ambacho unataka kukifanya lakini Katiba ya sasa inakunyima uhuru huo ? Achilia mbali hizi nafasi za kisiasa ambazo hazina tija kivileeee.siyo sahihi kwa mzanzibari kuongoza taasisi ambazo si za kimuungano.shida sisi watz tunaburuzwa kutokana na hili likatiba feki.kama hatutadai kwa nguvu zetu zote kupata katiba nzuri basi tutaendelea kuburuzwa na wazanzibari mpaka kitapokuja kizazi kingine ambacho kitajitambua lkn kwa katiba hii hatuwezi kutoboa.
Zanzibar ipo lkn Tanganyika ilikufa siku ya muungano. Kwahiyo kuna watanzania na wazanzibari lkn hakuna watanganyika..
Kwahiyo ni ruksa kwa mzanzibari kushika nafasi yoyote ile.
Tatizo muungano wetu umekaa kigoloko Sana. Haiwezekani nchi 2 zikaungana halafu kukaendelea kuwa na nchi 2.
Na kwanini Mzanzibar anaongoza wizara zisizo za muungano huku bara wakati Mtanganyika hawezi kuongoza wizara zisizo za muungano Zanzibar ?
Yani ww na mwendazake tu...!!Tatizo Shujaa Mwendazake alisema hataki kupangiwa
Ni sahihi kabisa kwa Mzanzibari kuongoza taasisi ambayo sio ya muungano kwasababu kila Mzanzibar ni Mtanzania, hivyo ana haki zote za Watanzania wengine wote. Ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari, hivyo wenye haki kuongoza taasisi za Zanzibar ni Wazanzibari pekee.Habari wanajamvi,
Wiki hzi tatu au mwezi huu tumekuwa na mijadala mingi hasa inayohusu uteuzi na teuzi mbalimbali.
Kinacholeta mjadala kingine ni katika masuala ya Muungano, Nacho nauliza kama ifuatavyo:
1. Je, inaruhusiwa kwa Mzanzibari kuongoza Wizara/taasisi ambayo haipo katika masuala ya Muungano, mfano Afya?
2. Kama ni sahihi, je mbona Watanganyika hatupewi nafasi za kuongoza wizara/taasisi zisizo za muungano kule Zanzibar?
3.Kama si sahihi, je ni kwa nini kinafanywa na nini kifanyike?
Umeuliza swali la msingi. Juzi hapa alipoteuliwa mzanzibari kuwa mkuu wa wilaya Iringa nilijiuliza swali kama hilo.Habari wanajamvi,
Wiki hzi tatu au mwezi huu tumekuwa na mijadala mingi hasa inayohusu uteuzi na teuzi mbalimbali.
Kinacholeta mjadala kingine ni katika masuala ya Muungano, Nacho nauliza kama ifuatavyo:
1. Je, inaruhusiwa kwa Mzanzibari kuongoza Wizara/taasisi ambayo haipo katika masuala ya Muungano, mfano Afya?
2. Kama ni sahihi, je mbona Watanganyika hatupewi nafasi za kuongoza wizara/taasisi zisizo za muungano kule Zanzibar?
3.Kama si sahihi, je ni kwa nini kinafanywa na nini kifanyike?
Kwan magufuli ndo aloleta muungano??Tatizo Shujaa Mwendazake alisema hataki kupangiwa
@Pascal Mayalla sababu ni kujipendekeza tu, mtu kujipendekeza uwe na faida hata iwe ni yakijinga mfano tunazinyima family zetu, tunaenda kuhonga vimada hiyo ni faida ingawa ni yakijinga lakini hii yakujipendekeza kwetu kwa wazanzibari, hakuna tunachofaidika na tunaishi kuhonga tuHabari wanajamvi,