Zanzibar 2020 Wazanzibar nguvu yenu Dua, amkeni usiku Tahajjud mumshitakie Mwenyezi Mungu

Uzuri wa Mungu sio mwanadamu maombi ya wenye hila ni kelele mbele zake
Zipo roho za watu takriban 10 zimeondolewa bia hatia huko Zanzibar,

kisha wakafanya dhulma kubwa ya udanganyifu katika kura.

Wewe umeona wapi Hussein Mwinyi ashinde Zanzibar wa 76%
 
Hayo mambo yangekuwa yanasaidia yangefanya kazi uarabuni,ni mambo ya kijima tu.
 
Albadiri ndio nini ?
 
Hamna lolote. Ingekuwa inafanya kazi kuna mataifa yasingekuwepo duniani kuna watu wangekuwa wamekufa saaaaaaaanaaaaaa... Siyo kidogo.yaani wangekuwa wamekufa na kufa tena na tena.

 

Hivi hata aibu huna na huo unafiki wako? Muislamu gani timamu anashabikia CCM?
 
Very good idea
 
Dua ya aliyedhulumiwa haina pazia!
 
Unamkumbuka vile vile Hajjaj Ibn Yusuf Ath-Thaqaani?

Alikuwa ni gavana huyu wa dola ya Kiislamu. Lakini alikuwa ni mmwagaji damu mkubwa! Kachinja sana waislam na wasio waislam. Aliivamia mpaka masjidi haraam ya Makka na kuiharibu. Maeneo aliyovamia na Umma kipindi hicho ulikuwa na wana wa zuoni wakubwa! Ulikuwa na maswhaba pia na Tabiina, ni zama za watu wema.

Ikiwa kama utaihukumu Zanzibar kuwa haifuati Usilam stahiki na kuwa dhahma inayowakuta ni kwa hilo je, vipi zama za Hajjaj Ibn Yusuf Ath-Thaqaani? Waislam wa zama hizo walimkosea nini Mungu? Hajjaj amechinja wana wazuoni wakubwa wa umma wa kislam. Nao walimkosea nini? Na zama hizo Nabiyyuna alisema ni zama bora!


Aliloshauri Missile of the Nation ni zuri! Dua ni ibada na kama ni ibada ina taratibu na Habibinaa Mtume Muhamma s.a.w ameshasema "Dua ya aliyedhulumiwa haina pazia". Usiwakatishe watu tamaa kwenye rehma ya Mungu.

Maandamano ni ikhtilaf kwa wanawazuoni. Wapo wanaopinga na kutoa dalili zao na wapo wanaikubali kwa kutoa dalili zao. Kwa hilo kila mtu atafanya lisilomtia shaka na ataacha linalomtia shaka.

Demokrasia ni utaratibu wa kisheria kwa wasio na sheria. Sisi Waislam tuna utaratibu wetu tuna sheria zetu. Licha ya hivyo tunaishi kwenye nchi isiyofungamana na dini ya upande wowote, ina taratibu zake zinazofungamana na watu wa itikadi zote. Hawakuzii kutimiza nguzo zako za Uislam wala nguzo zako za Imani na wala huzuiliwi kutenda mema kufika daraja ya uchamungu.

Kuhusu suala la Mikataba Mtume aliingia na kuheshimu mkataba na mliokubaliana nao ni suala tulilotakiwa Waislamu tuliheshimu. Mafungamano ya mkataba wanaoidai wa Zanzibar ni yamewekwa kwa mfumo wa Katiba ya kwamba maamuzi ya raia ya kumchagua kiongozi wamtakaye aliyechaguliwa kwa taratibu iliyowekwa yaheshimiwe. Maamuzi yao yamevunjwa! Kwa lugha nyengine wamedhulumiwa kile kilicho haki yao! Je, wasidai haki yao!?

Bw. Missile of the Nation ameshauri basi mlilieni Mungu nalo unaliona kosa? Pengine hili aliloshauri ndiyo linaweza likawa asbab ya wao kumrudia Mungu kindaki ndaki.
 
Hamna lolote. Ingekuwa inafanya kazi kuna mataifa yasingekuwepo duniani kuna watu wangekuwa wamekufa saaaaaaaanaaaaaa... Siyo kidogo.yaani wangekuwa wamekufa na kufa tena na tena.
Ndiyo maana ya kuwepo kwa pepo na moto. Laiti hayo mataifa yasingelikuwepo kungeli kuwa na maana gani ya kuwepo hivyo?
 
Ona hili kenge.... wangekaa Ndan kwao wangeguswa??!

Si nyege mshindo zimewaponza
Msimamo wangu ni mmoja tu, ni haki!

Siangalii utaifa, udini, rangi ya mtu au ukabila. Au awe mtu wa namna yoyote atakavyokuwa, itakapothibiti kwa vipimo vyangu kuwa hii ni haki yake anapaswa apewe basi nitasimama nae. Sitojali anayetenda hiyo dhulma awe mtu wangu wa karibu au ni nani! Mimi nitasimama na aliyedhulumiwa. Labda vije vipimo vyengine vilivyothibiti na kubadili vipimo vya awali.

Kilichofanyika Zanzibar ni dhulma! Na kilichofanyika Tanganyika ni dhulma. Na aliyefanyiwa dhulma ni haki yake kuidai. Kama anavyosema Malcolm X by any means necessary.

Huo ndio msimamo wangu.
 
Sifahamu ni vipi Seif ang'ang'ania madaraka, wakati wazanzibari wanamchangua awe kiongozi wao badala yake kigurupu kidogo kikisaidiwa na watanganyika kikifanya mapinduzi.

By the way, CCM hawajahi kushinda uchaguzi si leo pekee tokea kwenye historia. Ulifanyika uchaguzi kabla ya uhuru wakashindwa, wakasaidiwa na Nyerere kutoka Tanganyika kupindua. Mara pekee Zanzibar wameshinda uchaguzi ni wakati wa chama kimoja.

Haya basi mshashinda, leteni ayo maendeleo tuyaone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…