simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Hujui kitu, asilimia Watanganyika , Zanzibar ni zaidi ya asilimia Wanzazibari ,Tanganyika.Wapo wachache sana
Tatizo la Wazanzibar ni kwamba wanadhani wakipewa nchi yao maisha yataendelea kama yalivyo sasa. Hii kitu haiwezekani, itawabidi wabanane kwenye nchi yao au kwa kuwahurumia wapewe option ya kubakia Tanganyika au kwenda kwao Zanzibar. Kwangu mimi, hili suala la kudai kurejeshewa mamlaka kamili ya nchi yao ni bora wangeachana nalo. Maana consequences za kuwa na mamlaka kamili ni mbaya zaidi kuliko kuwa pamoja kwenye Muungano wa Tanzania. Kinachotakiwa kwa sasa ni kuwa na nchi moja tu.
Wananchi watoe maoni yao nini kirekebishwe ukizingatia katika bunge la jamuhuri ya muungano wabunge kutoka Zanzibar wapo na dawa ya tatizo ni kulipatia ufumbuzi sio kulikimbia,nini kirekebishwe sababu hakuna kero yoyote iliyotolewa na wenzetu kutoka Zanzibar ambayo ipo mezani hakuna kama nimekosea mnikumbushe, kilichopo ni siasa zenye uchonganishi ndani yake hasa kipindi cha uchaguzi,kama waasisi wetu waliona muungano unamanufaa kwanini wachache wasio na sababu zenye mashiko waje kuvuruga.amini usiamini, wazanzibar wanafikiri wakiondoka kwetu wabara tutaumia, cha ajabu hakuna mtu wa bara ambaye huwa anaamini kuwapo kwao kuna maslahi kwetu. wangejua undugu ndio unatuunganisha, lugha na ujirani wasingeona waarabu ni wa muhimu kuliko sisi. hata hivyo, naamni wataamua kwa kura za maoni na uamuzi wowote watakaouchukua sisi wabara tunatakiwa kuuheshimu na kuupokea. kwani tunapata nini toka kwao hata hivyo?
kuwaruhusu wengine wachague kuwa watanganyika tutapinga kwa nguvu zote kwasababu tutakuwa tumebakisha mamluki wa nchi nyingine hapa kwetu. si wanavyo vitambulisho vya uzanzibari? kama wanaruhusiwa kubaki hapa kwani watanganyika wataruhusuwa kuwa wazanzibar? ujinga kabisa huu. wasepe wote ili tupumue na tusilaumiwe tena na hawa viliamachozi.Tatizo la Wazanzibar ni kwamba wanadhani wakipewa nchi yao maisha yataendelea kama yalivyo sasa. Hii kitu haiwezekani, itawabidi wabanane kwenye nchi yao au kwa kuwahurumia wapewe option ya kubakia Tanganyika au kwenda kwao Zanzibar. Kwangu mimi, hili suala la kudai kurejeshewa mamlaka kamili ya nchi yao ni bora wangeachana nalo. Maana consequences za kuwa na mamlaka kamili ni mbaya zaidi kuliko kuwa pamoja kwenye Muungano wa Tanzania. Kinachotakiwa kwa sasa ni kuwa na nchi moja tu.
Uliposikia ulitakiwa kufuatilia ujueIna maana hawa kina bakharesa watarudi Zanzibar muungano ukivunjika? Niliwahi sikia wawekezaji wengi tu wa bara ni kutoka Zanzibar ni kweli?
watatakiwa kurudi zenji ndio, na Tanganyika hatutakuwa na uraia wa nchi mbili. na hatutataka mtu achague kwa kwenda, wazenji wanajulikana kwa vitambulisho vyao hadi leo, na wabara tunajijua wenyewe kwa koo zetu.Ina maana hawa kina bakharesa watarudi Zanzibar muungano ukivunjika? Niliwahi sikia wawekezaji wengi tu wa bara ni kutoka Zanzibar ni kweli?
Hivi karibuni yule Sultan Jamshid aliyepinduliwa Zanzibar na akakimbilia Uingreza na kuishi huko kwa miongo mingi, ameondoka huko na familia yake na kusogea karibu na Zanzibar huko Oman!!! Je kuna uhusiano wowote kati ya kusogea kwake na chokochoko hizi tunazoanza kuziona za Wazanzibari kutaka kuvunja muungano?
yaani kwamba zanzibar ina 10km ukanda wa pwani? hahahaha, jueni ya kuwa kitu duniani kinachoitwa zanzibar ni huto tuvisiwa pekee, mafia ni Tanganyika, pwani yooote toka Tanga hadi Mtwara ni Tanganyika, dunia nzima inajua hivyo na haitabadilika. kwahiyo hata baadhi ya maeneo ya dsm ni zanzibar? ndio maana tunasema mwende shule. Nyerere alipopambania uhuru tukapata mipaka yake ilikuwaje?Hilo halina mjadala unakuwa na ndugu alafu anakuwekea guu la shingo tuacheni tupumue,mnaogopa kuchukuwa zile 10km za ukanda wa pwani,maana mnajua kisheria hamtoki. Aafu saivi yupo Samia da tukiikosa chansi hii itabidi tusubirie mwengine akate roho.
Safi sana wapewe Nchi yao Watachaguliwaje Rais na Watu wa Bara?
TANGAYIKA YETUUUUUU.TANGANYIKAAAA OYEEEEE.Bora wapewe tu hata leo tubaki na Tanzania yetu,waishi kwa permit nchini.
Halafu eti kana Mikoa, Wilaya, Kata hadi VijijiBora wasepe.. Wanajiona sana hawa. Ka nchi kenyewe km Wilaya ya chunya. Tokeni mtuachia nchi yetu
Tuwaache siku wakianza kubaguana wao kwa wao; huyu mpemba na yule muunguja ndio wataelewa somoNao wataishi kwa permit tu,mbona mpaka tumeoa hukoo?
Ishu ni Kwamba ZNZ bado wanaamini tunawanyonya,wao wangekua Kama Dubai sa hivi
Wakati kalitakiwa kawe wilaya tu mojaHalafu eti kana Mikoa,Wilaya,Kata hadi Vijiji
Mwafrika na mwarabu wana undugu wapi na wapi,labda undugu kwenye dini.Hilo halina mjadala unakuwa na ndugu alafu anakuwekea guu la shingo tuacheni tupumue,mnaogopa kuchukuwa zile 10km za ukanda wa pwani,maana mnajua kisheria hamtoki. Aafu saivi yupo Samia da tukiikosa chansi hii itabidi tusubirie mwengine akate roho.
... bila Zanzibar hakuna Tanzania!Bora wapewe tu hata leo tubaki na Tanzania yetu,waishi kwa permit nchini.
Tanganyika.. Wapewe tuu tumeshawachoka.. Na wamchukue rais waoBora wapewe tu hata leo tubaki na Tanzania yetu,waishi kwa permit nchini.
TanganyikaBora wapewe tu hata leo tubaki na Tanzania yetu,waishi kwa permit nchini.
Labda Waarabu Waafrika wangekuwa watumwa tuuNao wataishi kwa permit tu,mbona mpaka tumeoa hukoo?
Ishu ni Kwamba ZNZ bado wanaamini tunawanyonya,wao wangekua Kama Dubai sa hivi
Yule akirudi Tanzania anatakiwa tumfurushe alichukua Waafrika utumwaniHivi karibuni yule Sultan Jamshid aliyepinduliwa Zanzibar na akakimbilia Uingreza na kuishi huko kwa miongo mingi, ameondoka huko na familia yake na kusogea karibu na Zanzibar huko Oman!!! Je kuna uhusiano wowote kati ya kusogea kwake na chokochoko hizi tunazoanza kuziona za Wazanzibari kutaka kuvunja muungano?