10km zipo na usifikiri tutazisamehe Big NO, halafu ndugu yangu kwanza ujuwe inapotokea hivyo ni tayari wale wanaoishi ndani ya zile 10km hawatakuwa tena wakisapoti huko mabondeni,hilo mlijue. Ukiangalia Malawi anachukua Nyasa yote na ukiangalia hadi leo ule mpaka unawekwa rangi nyekundu ukiashiria kuna mtu anamdhulumu mwenzake.tuonyeshe hizo 10km mnazodanganywa hapo kwenye ramani