Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Bora wasepe.. Wanajiona sana hawa. Ka nchi kenyewe km Wilaya ya chunya. Tokeni mtuachia nchi yetu
mi nafikiri cha msingi ni kuangalia muundo wa muungano wetu - si kukimbizana baada ya kushi miaka yote hiyo kwa umoja.
 
Hilo halina mjadala unakuwa na ndugu alafu anakuwekea guu la shingo tuacheni tupumue, mnaogopa kuchukuwa zile 10km za ukanda wa Pwani, maana mnajua kisheria hamtoki. Halafu saivi yupo Samia da tukiikosa chansi hii itabidi tusubirie mwengine akate roho.
Nyie wazenji wapumbavu sana nchi bila nguvu kazi haiendi kwa hiyo mnataka kua Kama komoro sio acheni uvivu na wivu ndio Mana hamuendelei mtu akiwa na kitu kizuri katupiwe jini
 
Wacha ushoga wako Visiwa vina tarekhe yake kwa nani anangania muungano ni Zanzibar au Tanganyika .kabla 1964 Zanzibar ilikuwa inategemea bara .Mimi nataka sasa hivi muungano uvunjike muone baada ya 10 yrs mutaingia kwa viza kama Dubai .Wazanzabari wote hawataki muungano nyie unganeni na Kenya na Uganda au Ruawanda ardhi moja mpk munafanana tu.
Eti after ten years,tutaongia kwa visa kama dubai, Mnadhani ilijengwa kwa ten years sio?Endelea kuota[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe mimi Regent nikijiita Lonadi una malaka gani ya kunihoji kkwanini najiita hivyo...wewe mzanzibar umejitoa kwenye muungano mimi nchi yangu naaita TZ wewe inakuwasha nini maana hizi sasa zitakuwa Genye.
Asante broo
 
wanatakiwa Wazanzibar wawe makini sana katika maamuzi yao wanayotaka kufanya!
kizazi kilichobaki na kinachomiliki nguvu kazi zaidi ni cha miaka ya 70s to 80s hawa hawana uchungu kabisa na Muungano na wangependa ufe hata sasa.
lakini waelewe kuwa wao ndio wanaozaliana sana na kibaya zaidi kutokana na tabia nchi na mabadiliko ya kitekenologia visiwa vyao vinaendelea kwisha na wakirudi huko kote utakuwa mkoa mmoja na wilaya zake!
kwa kifupi tumewachoka mno!
 
Mkuu, mtoto akililia wembe muache, ukimkata atatia akili
 
Back
Top Bottom