Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Weye Chiwa mjinga sana Muungano una faida na nyie Watwana wa kitanganyika na sio Wazanzibari na sijui kwa mmekaa kama Wasenge munatutaka kwa nguvu tuwapige nao tunawambia hatutakii bado muna ngangana tu ,ikiwa visiwa vitazama ,vitaliwa na maji weye Tanganyika hututaki msaada wako ss tunataka utu wetu na idintity yetu.Vunja mara kwendeniiii.
Faida gani nyie mlio nayo wakati unajua ilihali nyie ni dependant kwetu kwa kila kitu, hamjui nyie ni wake zetu mnao dai kupewa talaka eboo!

Au hujui ss ni mabahasha zenu tunawapumulia mgongoni [emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Shida huyu rais wa dharura nae hajielewi anataka nini kwenye masuala mazima ya kuendesha inchi. Anadai anataka kusimamia kila kitu kwa haki. Sasa hao ndugu zake wanataka haki ya kuuvunja muungano anatakiwa kutoa msimamo mapema asifikiri urais ni kuteua mabalozi na kuuza mahind kenya tu.
 
Bora wasepe.. Wanajiona sana hawa. Ka nchi kenyewe km Wilaya ya chunya. Tokeni mtuachia nchi yetu
Tukisepa tunamchukua na Mama yetu, sasa nyinyi Rais rabda mmuweke Halima Mdee [emoji16][emoji16]
 
Hilo halina mjadala unakuwa na ndugu alafu anakuwekea guu la shingo tuacheni tupumue, mnaogopa kuchukuwa zile 10km za ukanda wa Pwani, maana mnajua kisheria hamtoki. Halafu saivi yupo Samia da tukiikosa chansi hii itabidi tusubirie mwengine akate roho.
[emoji28][emoji28] mnasubiri akate roho mwingine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi karibuni yule Sultan Jamshid aliyepinduliwa Zanzibar na akakimbilia Uingreza na kuishi huko kwa miongo mingi, ameondoka huko na familia yake na kusogea karibu na Zanzibar huko Oman!

Je, kuna uhusiano wowote kati ya kusogea kwake na chokochoko hizi tunazoanza kuziona za Wazanzibari kutaka kuvunja muungano?
kuna mahusiano makubwa kati ya oman na zanzibar QABOOS alipompindua baba yake alikosa wasomi..akaja zanzibar na kuchukua wale waarab wengi na wapemba akawapa uongozi wa kutawala..so yeah hawa watu wanaamini wakiwa huru na mkoloni tanganyika watakula mema ya oman
 
10km zipo na usifikiri tutazisamehe Big NO, halafu ndugu yangu kwanza ujuwe inapotokea hivyo ni tayari wale wanaoishi ndani ya zile 10km hawatakuwa tena wakisapoti huko mabondeni,hilo mlijue. Ukiangalia Malawi anachukua Nyasa yote na ukiangalia hadi leo ule mpaka unawekwa rangi nyekundu ukiashiria kuna mtu anamdhulumu mwenzake.
Wanadhan wazanzibar mambumbumbu km wao hawaelewi kitu
 
Pimbi hawa umeme wanatumia wetu alafu bado wanalalama kama wanawake sasa muungano uvunjia alafu tuwe kama Israeli na Pakistan tutawatawala maana nyie ni kama sisiminzi alfu ni masikini sana mtatukumbuka hapo pesa sh 100 ya tanganyika itakua 1000000 ya zanzibar
Unawashwa ww
 
Wewe mimi Regent nikijiita Lonadi una malaka gani ya kunihoji kkwanini najiita hivyo...wewe mzanzibar umejitoa kwenye muungano mimi nchi yangu naaita TZ wewe inakuwasha nini maana hizi sasa zitakuwa Genye.
Aysee nawaonea huruma sana kw ujinga uliowajaa, maisha mtakua ivo ivo mnaburutwa tu
 
Nyie wazenji wapumbavu sana nchi bila nguvu kazi haiendi kwa hiyo mnataka kua Kama komoro sio acheni uvivu na wivu ndio Mana hamuendelei mtu akiwa na kitu kizuri katupiwe jini
kw akili hizi utaishia kuzaa kharam tuu
 
Watanganyika wanapaswa kuonyesha upendo kwa jirani anayetaka kurudi nyumbani kwao baada ya kututembelea kwa miaka mingi.

We TANGANYIKA USHIKE MKONO WA ZANZIBAR KATIKA KUMSAIDIA KUONDOKA!
 
Back
Top Bottom