Zan one
Member
- May 9, 2021
- 72
- 26
Waulize kwanin Meko kawajengea ikulu dodomaTayari mikoa yote iliyondani ya 10km wapo pamoja na Zanzibar,wameshajua kuwa si wenzenu hata mnaposhika madaraka mnaitenga na sasa mnachimba kuiuwa Darussalaam,Mtwara Tanga Pwani zote hazipumuwi.
Hizi 10km kama hamkuzitema mtazinya.(Samahanini kwa lugha)