Zan one
Member
- May 9, 2021
- 72
- 26
Unamtakia mwenzako mabayaKwani nimeroga nani.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtakia mwenzako mabayaKwani nimeroga nani.?
Mkataa kwao mtumwa dadaUnatupangia jina lakujiita wewe vipi hii TANZANIA
Watanganyika Zanzibar wanaishi kama wageni, hawaruhusiwi kumiliki ardhi.Vipi, upande wa visiwani Zanzibar hakuna watanganyika?
Kwanin walisema n km koti likikubana livue, au umesahau iyo kauli?Wananchi watoe maoni yao nini kirekebishwe ukizingatia katika bunge la jamuhuri ya muungano wabunge kutoka Zanzibar wapo na dawa ya tatizo ni kulipatia ufumbuzi sio kulikimbia,nini kirekebishwe sababu hakuna kero yoyote iliyotolewa na wenzetu kutoka Zanzibar ambayo ipo mezani hakuna kama nimekosea mnikumbushe, kilichopo ni siasa zenye uchonganishi ndani yake hasa kipindi cha uchaguzi,kama waasisi wetu waliona muungano unamanufaa kwanini wachache wasio na sababu zenye mashiko waje kuvuruga.
Muulize kabudi n bwana zako watakwambiayaani kwamba zanzibar ina 10km ukanda wa pwani? hahahaha, jueni ya kuwa kitu duniani kinachoitwa zanzibar ni huto tuvisiwa pekee, mafia ni Tanganyika, pwani yooote toka Tanga hadi Mtwara ni Tanganyika, dunia nzima inajua hivyo na haitabadilika. kwahiyo hata baadhi ya maeneo ya dsm ni zanzibar? ndio maana tunasema mwende shule. Nyerere alipopambania uhuru tukapata mipaka yake ilikuwaje?
Ile n nchi kamiliHalafu eti kana Mikoa, Wilaya, Kata hadi Vijiji
Unajitekenya huku unacheka mwenyeweimagine, ramani ya zanzibar ya mwaka 1964 walipojiondoa kwa mwarabu, ni hivyo visiwa viwili tu, unguja na pemba ndivyo wanamiliki. Tanganyika ilikuwa tayari imeshapata uhuru 1961 na ina mipaka yake yote iliyonayo sasahivi. kwahiyo uhuru wanaoudai ni wa huto tuvisiwa tuwili, kwasababu hata wakati mwarabu bado yupo (kabla ya mapinduzi) bara tulishamnyang'anya mwarabu maeneo yetu haya tuliyonayo leo. hivyo wasijidanganye kwamba maeneo yote aliyokuwa amekalia sultan wakati wa ukoloni yatakuwa yao (mfao pwani ya tanganyika) kwasabatu tulishamnyang'anya mwarabu, hivyo kama kudai angekuja kudai mwarabu sio wao. Mwarabu tulimbakishia visiwa hivyo viwili tu na walipofanya mapinduzi ya kumpindua mwarabu akawaachia hivyo visiwa viwili tu, ndio mali yao kama wanataka kuachana na sisi. wakajazane pale tuone hata choo watachimba wapi.
Weye Chiwa mjinga sana Muungano una faida na nyie Watwana wa kitanganyika na sio Wazanzibari na sijui kwa mmekaa kama Wasenge munatutaka kwa nguvu tuwapige nao tunawambia hatutakii bado muna ngangana tu ,ikiwa visiwa vitazama ,vitaliwa na maji weye Tanganyika hututaki msaada wako ss tunataka utu wetu na idintity yetu.Vunja mara kwendeniiii.wanatakiwa Wazanzibar wawe makini sana katika maamuzi yao wanayotaka kufanya!
kizazi kilichobaki na kinachomiliki nguvu kazi zaidi ni cha miaka ya 70s to 80s hawa hawana uchungu kabisa na Muungano na wangependa ufe hata sasa.
lakini waelewe kuwa wao ndio wanaozaliana sana na kibaya zaidi kutokana na tabia nchi na mabadiliko ya kitekenologia visiwa vyao vinaendelea kwisha na wakirudi huko kote utakuwa mkoa mmoja na wilaya zake!
kwa kifupi tumewachoka mno!
HahahaWatanganyika muwe na msimamo na mujifahirishe na Tanganyika yenuuuu.Muko hovyo hovyo ndio Meko akawapakua kwa 5 yrs na kumpigia makofiii.
Sasa walishaendelea ?URITREA ilipoamua walipata wanachokitaka iko siku Zanzibar itaamua na watakipata wanachokipata tena very soon.
Tutakuwa Kama Hamas na hao Mabwana zako daa dekiiiPimbi hawa umeme wanatumia wetu alafu bado wanalalama kama wanawake sasa muungano uvunjia alafu tuwe kama Israeli na Pakistan tutawatawala maana nyie ni kama sisiminzi alfu ni masikini sana mtatukumbuka hapo pesa sh 100 ya tanganyika itakua 1000000 ya zanzibar
Wako huruuuuu na sio kutawaliwaaaSasa walishaendelea ?
Wamejaaa sana Tandika,Ilala na Mbagalawapewe hata leo hii, ila baada ya hapo wapewe masaa 48 wale wa dsm, kigamboni na nchi nzima bara wafungashe virago wasepe hatutataka kuwaona sura zao kabisa.
Ujinga mzigo dada. Huelewi hata unachokizungumzakwani sisi tulipopata uhuru toka kwa mwingereza, kulikuwa na hizo ten km? si tulinyang'anya ardhi yote kasoro visiwa tu? visiwa vikabaki kwa mwarabu naye akaja kuporwa wakati wa mapinduzi, kwahiyo watakachodai ni hivyo visiwa viwili tu ambavyo walimnyang'anya sultan, hakuna kingine. vingine vyote vilivyobaki sisi tulishachukua tangu hata hawajapata uhuru. hata hivyo, kama wao wanaamini baadhi ya maeneo bara kama dsm, pwani etc ni yao, kuna umuhimu gani wa kutengana sasa mbona bado muungano u takuwepo tu, si watakuwa hapahapa bara...hahahaha. wajinga tu.
Haya ndio maneno ya kiume ,sio maneno ya kishogaa cjui visiwa vitazama .Waacheni wazanzibar wadai muungano uvunjike, hakuna sababu ya kung'ang'ania huu muungano wa kinafki usio na usawa maana hata kwa kumiliki ardhi wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika lkn mtanganyika huruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar, vilevile wazanzibar wanaruhusiwa kuajiriwa huku Tanganyika lkn mtanganyika huruhusiwi kupata ajira Zanzibar, Bora uvunjike kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
wafukuzeee watajua kwaoWamejaaa sana Tandika,Ilala na Mbagala
Ona huyu nae, mkiitwa mashishole mnakacrikaTukiiwaachia Zanzibar yote itakuwa kambi ya Magaidi.
Sijjakwelewa kabisa hapakwani sisi tulipopata uhuru toka kwa mwingereza, kulikuwa na hizo ten km? si tulinyang'anya ardhi yote kasoro visiwa tu? visiwa vikabaki kwa mwarabu naye akaja kuporwa wakati wa mapinduzi, kwahiyo watakachodai ni hivyo visiwa viwili tu ambavyo walimnyang'anya sultan, hakuna kingine. vingine vyote vilivyobaki sisi tulishachukua tangu hata hawajapata uhuru. hata hivyo, kama wao wanaamini baadhi ya maeneo bara kama dsm, pwani etc ni yao, kuna umuhimu gani wa kutengana sasa mbona bado muungano u takuwepo tu, si watakuwa hapahapa bara...hahahaha. wajinga tu.
Wapo kwao haoWamejaaa sana Tandika,Ilala na Mbagala