Wazanzibar wasiruhusiwe kuendesha vyombo vya moto Tanganyika bila kibali

Kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Tanzania ni ya Watanzania wote ila Zanzibar sio ya wote kwa baadhi ya haki ni kwa Wanzanzibari wakaazi pekee.

Kwa vile sarafu ni issue ya Muungano, Passport ni ya Muungano, Kitambulisho cha Nida ni cha Muungano, leseni ya Driving License should be ni issue ya muungano, ila kwavile Zanzibar ni kisiwa, madereva wanaofanya biashara ya public transport ndio wahitaji vibali lakini sio sisi wa private cars!.
P
Mkuu nakuunga mkono, una hoja yenye mashiko. Na iaply kote kwa usawa! 📌🔨
 
Kila Mzanzibari ni Mtanzania, ana haki zote za Utanzania ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Tanzania ni ya Watanzania wote ila Zanzibar sio ya wote kwa baadhi ya haki ni kwa Wanzanzibari wakaazi pekee.

Kwa vile sarafu ni issue ya Muungano, Passport ni ya Muungano, Kitambulisho cha Nida ni cha Muungano, leseni ya Driving License should be ni issue ya muungano, ila kwavile Zanzibar ni kisiwa, madereva wanaofanya biashara ya public transport ndio wahitaji vibali lakini sio sisi wa private cars!.
P
Kuna muda P huwa unakuwa na akili na kuna muda huwa unazivua akili. Ila kama huwa unazivua kwa sababu ya tumbo hapo sisemi neno
 
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Zanzibar kwa kutuzuia Watanganyika kuendesha vyombo vya moto kwao bila kibali maalumu, yaani leseni ya udereva pekee haitoshi mpaka uwe na kibali chao.

Huu ni utaratibu mzuri, serikali ya Tanganyika iige mfano huu na raia wote wa kigeni toka Zanzibar wazuiliwe kutumia barabara zetu bila kibali maalumu. Huenda tukapunguza matukio ya ajali za barabarani.
Hatuna roho ya choyo
 
Mwalimu Nyerere huko aliko asisamehewe kwa hili kosa la kipumbavu kabisa alilofanya kutuwekea huu upumbavu unaoitwa muungano ambao hata yeye mwenyewe alikua kujuta baadae kwa alifanya huo upumbavu, ifike wakati sasa huu upumbavu ufikie mwisho Kila mmoja achukue fito zake, ni aibu na upumbavu mkubwa Sana kuongozwa na kubanwa mbavu na kakikundi kadogo ka wale waarabu uchwara
 
Yeye(mwalimu)alishatuasa kwa kutuambia yaliyo mema tuyatwae.Na tunapoona makosa yake tuyarekebishe na/au kuyaondoa kabisa.Huko kulikuwa ni kuomba radhi kiutu-uzima.Kazi kwetu.
 
Mara kadhaa nimeandika humu kuhusu Watanganyika na Wazanzibar.ukweli ni kwamba Wazanzibar ni wenye akili kuliko Watanganyika

Wangekuwa na akili tusingeendelea kuwatawala kupitia CCM.
 
mzanzibar ambaye ana ule ujima wao(ubinafsi,ufia dini,unmzanzibar kwanza,)ni yule ambaye hajavuka maji kuja bara na kuishi.

wakiishakuwa huku wengi ndio wanatambua rasmi kuwa sisi wanyamwezi kama wapendavyo kutuita,ni zaidi ya wakarimu,hatuna roho za korosho kama wao.
 
Mwalimu Nyerere huko aliko asisamehewe kwa hili kosa la kipumbavu kabisa alilofanya kutuwekea huu upumbavu unaoitwa muungano ambao hata yeye mwenyewe alikua kujuta baadae kwa alifanya huo upumbavu, ifike wakati sasa huu upumbavu ufikie mwisho Kila mmoja achukue fito zake, ni aibu na upumbavu mkubwa Sana kuongozwa na kubanwa mbavu na kakikundi kadogo ka wale waarabu uchwara
Mkuu you are not fair, Rais Mzanzibari ndio Kawa Rais ana miaka 3 tu, unasema kabana watu mbavu!

Miaka 59 ya Marais watanganyika kutawala ni nini kilifanyika?

Hiyo miaka yoooote watanzania hawakubanwa mbavu?

Acha unaa, unafiki, uzandiki, ubaguzi na uongo! Hakuna aliyebanwa!
 
Mwalimu Nyerere huko aliko asisamehewe kwa hili kosa la kipumbavu kabisa alilofanya kutuwekea huu upumbavu unaoitwa muungano ambao hata yeye mwenyewe alikua kujuta baadae kwa alifanya huo upumbavu, ifike wakati sasa huu upumbavu ufikie mwisho Kila mmoja achukue fito zake, ni aibu na upumbavu mkubwa Sana kuongozwa na kubanwa mbavu na kakikundi kadogo ka wale waarabu uchwara
Una hoja kuntu..
Ila tatizo ni kuwa huwezi kuufuta huo muungano uchwara bila kwanza kupiga chini mnufaika wake mkuu, yaani genge la ccm
 
Back
Top Bottom