Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
- Thread starter
- #61
Njoo na CV tako nikupe kazi. Mwijaku na Kitenge imewashinda.Ulipotea sana mkuu. Nikajua umeenda kufungasha uhamie bandari salama. Nakosea mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo na CV tako nikupe kazi. Mwijaku na Kitenge imewashinda.Ulipotea sana mkuu. Nikajua umeenda kufungasha uhamie bandari salama. Nakosea mkuu?
Ndio vitu vikubwa walivyofanya duniani ?Kufaidika tu, na rasilimali zenu za nyinyi mlio wengi Watanganyika na zao kuwanufaisha wao ni akili kubwa.
Leo hii mnatawaliwa na Wazanzibar na wakati huo huo marufuku nyie kutawala kwao ni akili kubwa.