Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Kwenye nyumba mme ndo mwenye maamuzi mke lazima afuate amri ya mume.Nyie ni wake zetu tunawatunza ni wajibu wetu kuwalea ila mnajiona kama mnafaidika
Wanaume wa Wazanzibar wanawaendesha Watanganyika kweli kweli, wakati nyie mkilalamika bei ya vitu mfano umeme , Wazanzibar wao wanapitisha maamuzi magumu kwa Taanesko kusamehe deni la umeme.
Kipindi Wazanzibar wanaondoa mafuta na rasilimali nyingine muhimu kutokuwa suala la muungano na muda huo huo wananufaika na gawio la mapato ya Kodi toka kwenu wapumbavu toka kwenye madini,bandari,gesi nk.
Wakati Zanzibar wanajenga skuli za magorofa za kisasa,nyie zenu hata matundu ya vyoo yamewashinda.
Mapato yanayo kusanywa Zanzibar na miradi ya maendeleo wanayo fanya ni tofauti hii ni kanuni ndogo sana kuelewa "chukua kwa wajinga na wapumbavu ukajenge kwa wajanja"
Leo wizara sizizo za muungano zinaongozwa na wanaume wa Wazanzibar,ndio maana wanasaini hata mikata ya kimangungo sababu wanajua vyao vinalindwa na wao, wapumbavu mko bize na ushabiki wa Simba na Yanga.