Wazanzibar wasiruhusiwe kuendesha vyombo vya moto Tanganyika bila kibali

Mkuu nakuunga mkono, una hoja yenye mashiko. Na iaply kote kwa usawa! 📌🔨
 
Kuna muda P huwa unakuwa na akili na kuna muda huwa unazivua akili. Ila kama huwa unazivua kwa sababu ya tumbo hapo sisemi neno
 
Hatuna roho ya choyo
 
Mwalimu Nyerere huko aliko asisamehewe kwa hili kosa la kipumbavu kabisa alilofanya kutuwekea huu upumbavu unaoitwa muungano ambao hata yeye mwenyewe alikua kujuta baadae kwa alifanya huo upumbavu, ifike wakati sasa huu upumbavu ufikie mwisho Kila mmoja achukue fito zake, ni aibu na upumbavu mkubwa Sana kuongozwa na kubanwa mbavu na kakikundi kadogo ka wale waarabu uchwara
 
Yeye(mwalimu)alishatuasa kwa kutuambia yaliyo mema tuyatwae.Na tunapoona makosa yake tuyarekebishe na/au kuyaondoa kabisa.Huko kulikuwa ni kuomba radhi kiutu-uzima.Kazi kwetu.
 
Wangekuwa na akili tusingeendelea kuwatawala kupitia CCM.
 
mzanzibar ambaye ana ule ujima wao(ubinafsi,ufia dini,unmzanzibar kwanza,)ni yule ambaye hajavuka maji kuja bara na kuishi.

wakiishakuwa huku wengi ndio wanatambua rasmi kuwa sisi wanyamwezi kama wapendavyo kutuita,ni zaidi ya wakarimu,hatuna roho za korosho kama wao.
 
Mkuu you are not fair, Rais Mzanzibari ndio Kawa Rais ana miaka 3 tu, unasema kabana watu mbavu!

Miaka 59 ya Marais watanganyika kutawala ni nini kilifanyika?

Hiyo miaka yoooote watanzania hawakubanwa mbavu?

Acha unaa, unafiki, uzandiki, ubaguzi na uongo! Hakuna aliyebanwa!
 
Una hoja kuntu..
Ila tatizo ni kuwa huwezi kuufuta huo muungano uchwara bila kwanza kupiga chini mnufaika wake mkuu, yaani genge la ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…