Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one.

Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
 
Sasa inakuwaje tunatawaliwa na dola isiyo huru?
Akili au matope?
 
Mleta UZI inawezekana una HOJA nzuri, ila umekuwa na haraka..hebu tulia na uje tena,ukiwa umejipanga vyema
 
Back
Top Bottom