M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Sep 8, 2026 #1 Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,414 Reaction score 3,043 Sep 8, 2026 #2 Una umri gani?
M Mwamposa1 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2025 Posts 725 Reaction score 1,062 Sep 8, 2026 #3 Muuza Kangala said: Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa. Click to expand... Sasa inakuwaje tunatawaliwa na dola isiyo huru? Akili au matope?
Muuza Kangala said: Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa. Click to expand... Sasa inakuwaje tunatawaliwa na dola isiyo huru? Akili au matope?
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,330 Reaction score 4,048 Sep 8, 2026 #5 Mleta UZI inawezekana una HOJA nzuri, ila umekuwa na haraka..hebu tulia na uje tena,ukiwa umejipanga vyema
Mleta UZI inawezekana una HOJA nzuri, ila umekuwa na haraka..hebu tulia na uje tena,ukiwa umejipanga vyema