Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

Wanataka watoto wakivaa vibalaghashee wapendeze! Huku wanawabemenda ubongo! Waswahili bana!
 
Mimi mleta mada nimekaa Zanzibar kidoti kule. Nimejionea nayoyasema.
Yan umeona Kidoti unahukumu wazanzibari wote wanafanya ivo?? Tukienda Gwandi tukakuta wanakeketa watoto tuseme Wabara wanakeketa watoto wao??
 
Yan umeona Kidoti unahukumu wazanzibari wote wanafanya ivo?? Tukienda Gwandi tukakuta wanakeketa watoto tuseme Wabara wanakeketa watoto wao??
Zanzibar ni ndogo sana..hata ukitaka ukusanye watu kwa filimbi watasikia na kuja eneo la tukio..na hii tabia ipo zenji hadi pemba..acha ubishi watu wamekuja na shuhuda zao wewe unataka uwapinge?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandishi atakuwa ni mtoto wa mbio Za mwenge.
 
Wazanzibar gani hao? Au unaona hawana machogo ndio maana unashangaa? Nani kaminywa kichwa nyuma? Acha uzushi
 
Afya ya akili ya mtoto wa Zanzibar Ni haki yake. Chonde chonde msiwaninye ndonga watoto.[emoji41]
 
Kama ambavyo wanaume wa Bara wanavyotamani waolewe na Wazungu ili wazae machotara wa Kizungu. Ukipenda chongo huona kengeza.
Acheni kuminya vichwa watoto..ipungizieni mzigo serikali kuhudumia mazezete.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni kweli kabisaa angalia familia za WATU wa ZANZIBAR WOTE HAWANA VISOGO NA NDIO MAANA SISI WANATUITA WATU BARA CHOGO mtu ukimwangali@
 
Hizi ni athari za utumwa ..waarabu walikuwa wakiwatambua watumwa kwa kuangalia vichogo maana wao hawana kwa hiyo jamii pia inaona mtu kwenye kichogo ni mtumwa tu.. ndio wakabuni huo ujinga wa kuminya vichwa watoto ili kuondoa hivyo vichogo hii hasa ni Pemba..na ni kweli ukiwa Zanzibar mtu akakwambia wewe chogo anamaanisha wewe ni mbara na kipindi hicho watu wa Bara ndio walikuwa watumwa huko kwao..

Saasa wamebaki na Imani hizo Hadi sasa..
 
na hili chogo langu ningezaliwa zenji wangebinya hadi ningekuwa zuzu. hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…