Kwa utafiti upi?!Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturi sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto.
Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa utoto kwa sababu zako mwenyewe una distort his senses if judgement ukubwana na kuharibu Brain impairment system zote.
Angalia hata kwenye bondia ukipiga ngumi ya nyuma ya kichwa unakatwa point ni faulo. Panalindwa sababu Kuna vitu sensitive sana ila Mzanzibari anapabonyeza hadi mwisho.
Eti asiwe na kichogo na akivaa baragashia apendeze sababu ya kijinga kabisa mnaharibia watoto wa maisha. Nimepita Zanzibar unakuta mtoto hajachangamka kabisa wengine wanatoa madenda tu Kama matahaira sababu brain system zimebonyezwa.
Acheni hili!
View attachment 1790630
View attachment 1790626
sometime kama huna cha kuandika tulia mzee ,"waungwana hawapendi kelele"
Ngoja nikupatie jawabu ambalo litaendana na hii thread yako dhaifu ya ku attack watu lakini utalielewa
Ukifuatilia
utamaduni wa wazanzibar umefungamana na matendo mengi ya dini ya uislam
Hivyo katika dini hiyo imefundisha pia namna ya maumbile ya vichwa na faida zake ikiwa Chogo inaaminika kua hujaa ufaham wa hali ya juu kuliko vichwa vengine
Hivi ndivyo wazanzibar wanavyofahamu
Na wenyewe watakujibu hapa
Lakini kuhusu kuitana vichogo hiyo ni physical identity tu
Kwan na hao wazanzibar si wanaitwa wanywa urojo?!
Sent from my SH-01G using JamiiForums mobile app