bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Sahihi kabisaHawataki watoto wao wawe machogo[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaHawataki watoto wao wawe machogo[emoji28][emoji28][emoji28]
Kichogo kinakufanya ufuate mambo kimkumbo tu. Fanya utafiti utagundua hili.Lol. Ndo maana akili zao zikk vile. Nimeelea sasa
Mh! Utakuwa Dr Mwaka au Kihiyo. Alokudanganya akili inakaa kisogoni kakupoteza kabisa. Hata Google tu kuna details zote kuhusu ubongo na sehemu zake. Siku hizi wanaodanganywa ni wavivu tu.Mimi mwenyewe. Daktari.
Uki google brain parts and functions, unapata hit ya kwanza hii hapa:Mh! Utakuwa Dr Mwaka au Kihiyo. Alokudanganya akili inakaa kisogoni kakupoteza kabisa. Hata Google tu kuna details zote kuhusu ubongo na sehemu zake. Siku hizi wanaodanganywa ni wavivu tu.
Mwenyewe nikienda hospitali, kwanza kabla ya uamuzi wa kwenda hospitali nakuwa nimeshajiandaa nimefanya search ya kutosha kwa ajili ya kufanya meaningful conversation na daktari wangu. Na chochote atakachosema ambacho sikukiona katika search yangu, nikitoka hapo ofisini kwake narudia search kwa terminology zote mpya atakazoniambia. Information is power. Hatudanganyiki siku hizi.
Mbona mimi sina kisogo na sikuminywa jamani
Inawezekana ujueKichogo kinakufanya ufuate mambo kimkumbo tu. Fanya utafiti utagundua hili.
ndio maana kule mazuzu ni wengi, na watoto wanafeli sana masomo kwasababu ubongo wao umetingishwa.ndio wanashika mkia kila mwaka matokeo ya shule tz.
Hakuna wazanzibar wanaozaliwa na kubinywa vichwa hata mmoja uo ni uzushi tu mtoa mada hana la kusema tu akatafute nauli akawatembelee wazee kijijini kwao naona ni mda mrefu sasa tangu umeondoka kuja Dar.Wengine Ni naturally wamezaliwa hivyo ila wengine Kama wa Zanzibar Ni kubinywa na wazazi wao baada tu ya kuzaliwa.
Unabisha suala hili kweli? Utakuwa ndugu yetu Mzanzibari. Acheni hiyo tabia.Hakuna wazanzibar wanaozaliwa na kubinywa vichwa hata mmoja uo ni uzushi tu mtoa mada hana la kusema tu akatafute nauli akawatembelee wazee kijijini kwao naona ni mda mrefu sasa tangu umeondoka kuja Dar.
naendelea kusisitiza hili jambo sio la kweli ni uzushi mtupu !Kama ni kweli hatari sana! Na ujinga wa kiwango cha kutisha..Yan unahatarisha ubongo wa mtoto kisa kibagalashee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachina ndio asili yao hivyo..sasa hawa wamanyema watumwa wa waarabu wenye chogo toka kitambo..wanaminya watoto makusudi ili wawe na vichwa kama dumu eti wapendeze wakivaa baragashia..kumbe wanaminya ubongo na kuua nerves za ubongo ambazo ni none generative..zikifa zimekufa..ndio mana wengi ni zero brain.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi kiroba kilichojaa na kufungwa mchanga....ukikibana unapunguza mchanga au unaharibu umbo la kiroba.....??
Ongeza tusomeeHii imeeleweka au bado niongezee nyama nyama tena kwenye thread? [emoji41]