Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

Hakuna wazanzibar wanaozaliwa na kubinywa vichwa hata mmoja uo ni uzushi tu mtoa mada hana la kusema tu akatafute nauli akawatembelee wazee kijijini kwao naona ni mda mrefu sasa tangu umeondoka kuja Dar.
Acha uongo inakuwaje watu wote wazaliwe na vichwa flat?
 
Acha dharau mkuu, hakunaga chuo cha vilaza......alafu isitoshe kozi ilikua na students waliopata Div1 tu
Hizo ni hearsay tu hakuna atakayekuamini..facts ni kwamba angalia tu matokeo ya darasa la saba na form 4 ndio utajua vilaza wako wapi?

#MaendeleoHayanaChama
 
Hizo ni hearsay tu hakuna atakayekuamini..facts ni kwamba angalia tu matokeo ya darasa la saba na form 4 ndio utajua vilaza wako wapi?

#MaendeleoHayanaChama
Labda useme wengi wao hawako interested na so-called "Elimu ya dunia/kikafiri", focus kubwa kwao ni elimu ya dini
 
Labda useme wengi wao hawako interested na so-called "Elimu ya dunia/kikafiri", focus kubwa kwao ni elimu ya dini
Hata hiyo elimu ya Dini hawana... Yaani hamna chochote mwaka huu kwenye mashindano ya kuifadhi Quran pale Dar wametandikwa na machogo balaa wa West Africa balaa.
Top 20 hakuna hata mmoja.
 
Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturi sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto.

Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa utoto kwa sababu zako mwenyewe una distort his senses if judgement ukubwana na kuharibu Brain impairment system zote.

Angalia hata kwenye bondia ukipiga ngumi ya nyuma ya kichwa unakatwa point ni faulo. Panalindwa sababu Kuna vitu sensitive sana ila Mzanzibari anapabonyeza hadi mwisho.

Eti asiwe na kichogo na akivaa baragashia apendeze sababu ya kijinga kabisa mnaharibia watoto wa maisha. Nimepita Zanzibar unakuta mtoto hajachangamka kabisa wengine wanatoa madenda tu Kama matahaira sababu brain system zimebonyezwa.

Acheni hili!

View attachment 1790630
View attachment 1790626
umenichekesha hasa
 
Nimetoka huko wiki iliyopita na nimekaa kule kwa muda kama miezi mitatu,nimegundua hicho kitu ila sikujua kwanini wazanzibar wapo flat bila kichogo,
 
Back
Top Bottom