Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Una uhakika wanaminya?Ukweli mtupu! Huwezi kumminya mtoto kisogo wakati pale ndio Kuna kila kitu. Ndio reason ukipiga kisogoni hata kwenye bondia ni faulo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika wanaminya?Ukweli mtupu! Huwezi kumminya mtoto kisogo wakati pale ndio Kuna kila kitu. Ndio reason ukipiga kisogoni hata kwenye bondia ni faulo.
Nakuuliza tena are you sure?Wanafanya ujinga saana. Hawajui wanawaharibu watoto wao. Ndio maana kila mwaka shule zao zinashika mkia.
Hao jamaa ni washapu, yaani walijuaje fuvu la mtoto huwa liko rojo rojo akiwa mchanga, sasa tabia yao wanali mould kama chungu, hehehe. Ukija kubalehe kitu kimekita tisti kuelekea hukooo... 😂 😂 😂 Wamenikumbusha "The gads must be crazy" 🤔😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti hukubali
Hiyo ni mila ungezaliwa huko ungefungwa kamba ikakazwa haswa mpaka unalia wakati unakuwa [emoji23][emoji23]
Kweli kuna makabila wanapitia mengi sana hadi huruma
Mkuu, usiharibu uzi wa mleta mada kwa kuingiza mambo yako ya kidini.
Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturi sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto.
Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa utoto kwa sababu zako mwenyewe una distort his senses if judgement ukubwana na kuharibu Brain impairment system zote.
Angalia hata kwenye bondia ukipiga ngumi ya nyuma ya kichwa unakatwa point ni faulo. Panalindwa sababu Kuna vitu sensitive sana ila Mzanzibari anapabonyeza hadi mwisho.
Eti asiwe na kichogo na akivaa baragashia apendeze sababu ya kijinga kabisa mnaharibia watoto wa maisha. Nimepita Zanzibar unakuta mtoto hajachangamka kabisa wengine wanatoa madenda tu Kama matahaira sababu brain system zimebonyezwa.
Acheni hili!
View attachment 1790630
View attachment 1790626
Hatuna undugu na michogoUmekasirika Mzanzibari.... Nyie Ni ndugu zetu lazma tuwashauri mazuri. [emoji1787]
Achana na wapumbavu hawa ndugu yangu
SinaAkili unazo au huna!?
basi utakuwa huna kisogo kama wazanziberrySina
Bora niwe Mmasai sasa, nikaue Simba *****!![emoji51][emoji23][emoji1787]
Bora niwe Mmasai sasa, nikaue Simba *****!![emoji51][emoji23][emoji1787]
Ah hawa Wamasai wa Somali! 🤣 🤣 🤣 Kichapo ni hicho alafu ampate simba *****, piga mikuki pasua pasua dadeq, simba hatoshi... 😂 😂 😂