Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

Na nyinyi acheni kuwa bena watoto na kwaongezea makalio
Sasa makalio Yana shida gani? Kuna ubongo kule kwani? Tako/Bunyero halina shida, shida iko kwenye ubungo.
 
Hawa ndugu ukiwa na kisogo wanakuona Kama huna mapengo hivi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua kuna kichogo na kisogo. Sasa labda wao wanazungumzia kichogo ila kisogo hapana.... Kisogo kinakiwa ni nyongeza ya urefu kanakuwa hakana ncha kali ila kanatokelezea.

Sasa kama ni mwanamke anyoe ile kama panki fulani hivi. Acha kabisa. Bila kisogo unakuwa na kichwa kama kidolegumba. Ukinyoa upara unaweza usijulikane mbele wapi nyuma wapi.
 
M.a.k.a.f.i.r.i mnatabu sana kwa waislamu

Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao

Hiki mnachokijadili si tu kwa wazanzibari, bali mnawalenga waislamu wote wa Tanzania.
Kwa tafsiri sahihi ya neno kafiri.
Ni kwamba Wanzanzibar karibu 97 ni makafiri wewe ukiwemo.
Sema kwa tafsiri mlizomezeshwa madrasa kwa ustadh Jumaa basi sisi ni makafiri
 
Huu uzi umekaa kidini zaidi, kwa mwelewa na anaejitambua atakuelewa
Yaani Mimi Karne hii niwe na Dini ushuzi... Mdogo wangu Mimi Sina Dini sio mkristo wa mwisilamu.
Mimi Ni atheist professional. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom