LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 901
- 2,876
- Thread starter
- #81
Wote nyie mnaoamini katika Dini ndio mnaofuata mayahudi na makristo.M.a.k.a.f.i.r.i mnatabu sana kwa waislamu
Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao
Hiki mnachokijadili si tu kwa wazanzibari, bali mnawalenga waislamu wote wa Tanzania.
Kwanza tujadili tatizo la kusiginana visogo.