Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

Moja kwa moja kwenye point... Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna distur sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto.

Mike mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa utoto kwa sababu zako mwenyewe una distort his senses if judgement ukubwana na kuharibu Brain impairment system zote.

Angalia hata kwenye bondia ukipiga ngumi ya nyuma ya kichwa unakatwa point Ni faulo. Panalindwa sababu Kuna vitu sensitive saana ila Mzanzibari anapabonyeza Hadi mwisho.

Eti asiwe na kichogo na akivaa baragashia apendeze sababu ya kijinga kabisa mnaharibia watoto wa maisha. Nimepita Zanzibar unakuta mtoto hajachangamka kabisa wengine wanatoa madenda tu Kama matahaira sababu brain system zimebonyezwa.

Acheni hili! View attachment 1790630

View attachment 1790626
ndio maana kule mazuzu ni wengi, na watoto wanafeli sana masomo kwasababu ubongo wao umetingishwa.ndio wanashika mkia kila mwaka matokeo ya shule tz.
 
Back
Top Bottom