SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Mtoto akiwa bado mchanga fuvu lake (skull) huwa bado halijakomaa ,,maana zile "sutures"( mipaka katika fuvu) huwa bado hazijafunga.
Hivyo basi endapo kachanga hako katalazwa kwenye "hard material or surface" shape ya kichwa chake itabadilika.
Sasa endapo mtoto huyo ataendelea kulazwa kichwa chake kwenye sehemu ngumu kwa muda mrefu, ukuaji wa fuvu kwa nyuma utakuwa umeminywa na kupelekea kichwa kuwa flat. Ikumbukwe ubongo na mwili wa mtoto huyu bado unakua kulingana na vinasaba vyake na lishe anayopata..
Hivyo basi, madhara ya kutumia mbinu hii ya KIJINGA KABISA for the sake of kuvaa "balakashia" au kuwa kama na vichwa vya duara vya their colonial masters ( waarabu ambao ndio walioleta dhana ya kunyanyapaa watu weusi wenye chogo) ni hatari kwa afya na ukuaji wa watoto hao na ustawi wa taifa kwa ujumla wake.